Recent content by Mapindizi chanya

  1. Mapindizi chanya

    Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

    #Taarifabilamipaka Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema soko kuu la kariakoo linaungua moto muda huu Bado chanzo cha moto huo hakijajulikana Tutaendelea kukujulisha taarifa zaidi endelea kufuatilia @dar24news
  2. Mapindizi chanya

    Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

    Kwanza hongeraaa Sana kwa kuweka fedha hiyo ,,, Ushauri wangu wekeza kye nafaka hasa mchele ... Fungasha mchele toka morogoro halafu lete masasi mtwara huku soko lake zuri mno na hutojuta huku mchele unaenda Sana ... Ukiwa Tayari ni contact ndugu ,,, ntakua mwenyeji wako huku na kila kitu...
  3. Mapindizi chanya

    TUACHE

    Haya ndo matokeo halisi ya shule zilizozagaa mitandaoni kuwa zimekuwa za mwisho katika mitihani ya kidato cha nne 2020. 1. S 3110 Chingungwe ina div I 1, II 1, III 8, IV 27, 0 2. Na imeshika nafasi ya 21/33 na 669/986. 2. S 3727 Malocho divI 0, II 1, III 0, IV 24, 0 24. Imeshika nafasi ya...
  4. Mapindizi chanya

    Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Bachelor of technical education in electrical engineering and electronics nahisi ndo wamelengwa zaidi ili kufundisha shule za tech kama tanga tech ,mtwara tech ....
  5. Mapindizi chanya

    Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Kuna watu wamesoma bachelor of technical education in electrical engineering and electronics hapa ndo wamelengwa Sana Wala engineers hawajadharaulika ndugu
  6. Mapindizi chanya

    Hadithi: My Soulmate

    Nice,,,,next
  7. Mapindizi chanya

    Hadithi: My Soulmate

    Sawa mkuu
  8. Mapindizi chanya

    Hadithi: My Soulmate

    Safiiii
  9. Mapindizi chanya

    Hadithi: My Soulmate

    Well waiting next episode
  10. Mapindizi chanya

    Hadithi: My Soulmate

    Hahhahaaaa nice story twasubir next episode
  11. Mapindizi chanya

    Hadithi: My Soulmate

    Safi sana mkuu ,,tunasubiri next episode
  12. Mapindizi chanya

    Hadithi: My Soulmate

    Badoooo
  13. Mapindizi chanya

    Hadithi: My Soulmate

    Lete episode nyingine eee
  14. Mapindizi chanya

    Love affairs

    Ushauri hakuna yalonikuta naenjoy relationship #SISI NI TANZANIA MPYA
Back
Top Bottom