Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,550
Yaani akabebe zege na mitaro badala ya kutenga hata 200,000 kufanya research kwa kuzunguuka maeneo mbalimbali within specific timeline atapata picha pana sana.Weka hela bank, rudi kitaa jichanganye kwenye kaz ndogo ndogo kama kusafisha mitaro,kubeba zege baada ya mwez utajua biashara nzur sana ya kufanya.
Njia ya pili, kuwa Karbu na watu ambao hawana kitu,hao huwa wana plan nying za biashara.