MHE. RAIS VITABU VYA TAASISI YA ELIMU NI VIBOVU KWELI
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iliunda tume ya kuchunguza ubovu wa vitabu vya Taasisi ya Elimu na kwa nini ilitokea hivyo.
Mhe. Rais, vitabu vya Taasisi ya Elimu kama ilivyoelezwa na kujadiliwa bungeni, vitabu hivyo ni vibovu kweli...

ADHABU ZA WALIOHARIBU VITABU VYA TAASISI YA ELIMU
IANZE NA WAZIRI WA ELIMU - J. NDALICHAKO
Ina maana waziri Ndalichako hakujua kilichoandikwa ndani ya hivyo vitabu vibovu? Ndalichako amekuwa akizunguka na wakuza mitaala mikoani akifungua/kufunga semina elekezi kwa waalimu namna ya kutumia vitabu...
ADHABU ZA WALIOHARIBU VITABU VYA TAASISI YA ELIMU
IANZE NA WAZIRI WA ELIMU - J. NDALICHAKO
Ninashtuka kwa nini Ndalichako apongezwe? Apongezwe kwa lipi?
Ina maana waziri Ndalichako hakujua kilichoandikwa ndani ya hivyo vitabu vibovu? Ndalichako amekuwa akizunguka na wakuza mitaala mikoani...
Makosa ni mengi mno kwa vitabu vyote.
Baadhi ona hapa.
ISBN 978 996 61 545 6 Kitabu cha Englis Std 3
ISBN 978 9976 61 537 7 Kitabu cha Kuhesabu Drs La 2
Anglia thread hapo juu
Makosa ni mengi mno kwa vitabu vyote.
Baadhi ona hapa.
ISBN 978 996 61 545 6
ISBN 978 9976 61 537 7
Mkuu tulia usome kwa makini na utafakari makosa ya vitabu hivyo.
Taasisi ya Elimu imeandika na kusambaza vitabu nchi nzima kwa ajili ya kufundishia wanafunzi darasani. Pia wanafanya semina katika mikoa mbalimbali kuelekeza walimu namna ya kutumia vitabu hivyo. Vitabu hivyo kama vipo kimkakati, vimelenga kuharibu elimu ya watoto Tanzania.
Vitabu ni vibovu...
Mambo muhimu yanayochangia mtoto kupata elimu, yaani :
(1) ajue kusoma na kuandika,
(2) hisabati msingi
(3) elimu ya maarifa mbalimbali kwa maisha ya umri wake.
Yafuatayo yachukuliwe kuwa ni mambo chanya kupata elimu bora:
(a) vitabu bora (kiada na ziada)
(b) walimu bora
(c) majengo (madarasa)...

Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) shughuli yenu ni kuhakikisha uwepo wa mitaala, mihtasari na pia ufuatiliaji wa utekelezaji wa hayo.
Kwa sasa TET wanaona kuwa vitabu vilivyoko shuleni ni vibaya, basi wameamua waandike wenyewe. Walimu ni wabovu, basi waamue kufundisha wenyewe. Watathmini wa...

Viongozi wanaongea sana kuhusu madawati shuleni, pia wanajitahidi kuhakikisha kuwa yanapatikana. Vizuri sana. Je, wanafanya hivyo wakijua shule zenyewe zikoje?
Kwa sasa darasa kama halina madawati, linaweza kubeba wanafunzi hata 150 waliokaa chini. Pia, wanafunzi hao watakuwa na mwalimu moja...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.