Recent content by Mapigo7

  1. M

    Diamond Platnumz kufa kimziki baada ya miaka 6

    Umeongea vema! Yeye kama ame-copy na ku-paste si kitu.Cha muhimu ni kutengeneza pesa tu. Duniani leo watu wanaofanikiwa ni Innovators. Hawa ni watu wanaobolesha juhudi zilizoanzishwa na creators(wavumbuzi ).Basi wengine wafanye hivyo pia.Hata hao wa majuu huchukua mambo yetu na kwenda kuyaboresha.
  2. M

    Sam Mahela tena... Hivi ITV management hamyaoni haya?

    Nakubaliana na wewe! waandishi wetu wengi wanakuwa na hofu na maswali wanayo uliza.Kuna Mama mmoja wa CNN AMAN POUR Aliwahi kumuuliza Asad wa Siria unajisikiaje kuuwa watu kiasi hiki na akatoa picha za maiti zimetapakaa! Ukweli mpaka kiongozi huyo akashtuka.Ndivyo vitu tunataka japo si lazima...
  3. M

    Sam Mahela tena... Hivi ITV management hamyaoni haya?

    Kama sijasahau,Muanzilishi alikuwa Semunyu.
  4. M

    Sam Mahela tena... Hivi ITV management hamyaoni haya?

    Ukweli!jinsi anavyo hoji wageni huwa anashindwa kudhibiti hisia zake za upendeleo wake.Kuna kipindi kimoja alikuwa na mgeni ambaye misimamo yake ilikuwa inatofautiana na serikali yetu pendwa,ila mgeni huyo alikuwa na "point" cha kushanga mtangazaji akageuka serikali.Jamani tujifunze kwa...
  5. M

    Haya ya kweli kuhusu Rock City Mall?

    Nakubaliana nawe kiasi,ila sikubaliani na kwamba baada ya miaka3 vyumba vitakuwa vitupu,umefanya utafiti wowote?investment yoyote huanza kwa kusuasua na itafika hatua itaimarika.Kuhusu utamaduni nalo sikubaliani nawe Mimi nimekaa mwanza najua mji huo unamchanganyiko mkubwa wa watu kwa hiyo...
  6. M

    Kwanini nchi huitwa (her)? Mfano 'Tanganyika got her independence'..

    Si meli tu, hata gari moshi(train) hutumia she.moja ya sababu kuu ni tabia umama kubeba mtoto ndani ya tumbo lake.kwa hiyo kwa sababu tunasafiri tukiwa ndani yake huonekana tu watoto tumboni.
  7. M

    Simu zangu zina shida gani? msaada tafadhali

    Asante kwa elimu Ku root smartphone. Nikidandia Uzi,Nina Huawei ascend y600,nikiiwasha inatoa Logo tu haifiki kwenye menu, nakuanza kupata joto mpaka naamua kutoa betri.kuna wakati naibahatisha ina waka na inafika kwenye menu,ila ukigusa Apps hazifunguki japo internet inakuwepo.nimefanya hard...
  8. M

    Simiyu - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Shibuda ana hali mbaya Maswa Magharibi,mchuano upo kati ya Patel CDM na Mashimba CCM.
  9. M

    Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Du! Mimi nilijua MB zangu zimekata kumbe kulikuwa na hujuma? Asante kwa taarifa.
  10. M

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Kwaheri Deo! Mmoja wa wazalendo wachache walio bakia CCM, nilipenda sana michango yako Bungeni,hakika "Wema hawana maisha".... Nukuu ya wimbo wa Balisidya .
  11. M

    Mnyika akielezea Ilani ya chadema/ukawa ITV sasa ivi

    Dr.F.M alipanic mpaka anasema CCM itajenga reli kwa kiwango cha lami.
  12. M

    Bernard Membe awapa angalizo waangalizi wa Uchaguzi

    Mmh! Kwani hao waangalizi wametumwa na tume?mpaka wawajibike kwao? Mfa maji haachi......
  13. M

    Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Haitakuwa rahisi kuwabana vigogo ki hivyo,aliweza Mwl. tu naye kwasababu zama zile ziliruhusu na si leo.Yetu macho..
Back
Top Bottom