Recent content by Mapico

  1. Mapico

    JamiiForums Tanzania Bangi na pombe Kali ni hatari nimerudi mtaani naona vijana wamezeeka ghafla

    Waambie wazingatie msosi wa kutosha na muda mwingi kupumzika basi kama vinazeesha Sugu angekuwa Kibabu
  2. Mapico

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo basi hataki tumjue

    Mungu uwepo wake ni kama umeme katika mifumo ya nguvu, huwezi kuona voltage and current kwa macho .Bali tunaona matokeo mfano.Ukiwasha taa unachoona ni mwanga .Mungu uwepo wake huthibitika katika matokeo na michakato .
  3. Mapico

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Kahama Manispaa kuna maendeleo kuzidi Shinyanga manispaa?

    Sijui mengi zaidi ya Kahama mbele kagongwa nyuma.
  4. Mapico

    JamiiForums Tanzania Shabiby na Mwita Waitara wagomea maelekezo ya kusifia Hotuba ya Rais

    Danganya toto tuuze Akiba ya Dhahabu
  5. Mapico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutemea mate wakati wa tendo

    Ukitemea Mate hata kama amekutegea huko Chini Panateguka . Ukimaliza kula tia kijiko ndani ya Mboga lazima pachache Mate ni Bidhaa Bora sana kuwa nayo Binadamu
  6. Mapico

    JamiiForums Tanzania Hivi hospital ya Muhimbili Mloganzila ni Hospital ya Serikali? Kama ndio, Kwa nini gharama ziko juu Sana Kiasi hiki?

    Naongezea Pale Mloganzila Ni Hospitali iliyoundwa na wabobevu Madaktari Bingwa , Professional Doctor's huwezi kuwakuta huku Mwananyamala au Mbagala.
  7. Mapico

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Acha UONGO Aisee kwanini wewe Usiwe hazina ya Taifa?
  8. Mapico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

    Wanawake wengi wamekuwa majambazi wanaokuja kwa Njia ya Ndoa baada ya mda unasikia Tugawane
  9. Mapico

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MREJESHO: Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    Wanasema Ukianza kumwelewa mwanamke basi upo karibu na kifo kubwa makini
  10. Mapico

    JamiiForums Tanzania Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

    Naanzia ,SAA 6 MCHANA Chai nzito ya Maziwa na msosi wowote Ugali kisamvu. namalizia Saa 1 Jioni na mlo wa Jioni na half plate ya matunda . Nakula mara 2 kwa siku + 3Afya chupa 3 kuanzia Asubuhi.
  11. Mapico

    JamiiForums Tanzania Hakuna urafiki kati ya Askari Polisi na raia. HAKUNA!

    Tuwape nafasi kama Binadamu wenzetu ukiwa Askari kwa hapa Bongo Bila ukuda hainogi bora ukauze sura Zenjiii.
  12. Mapico

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Huyo Sio mwanao kapime DNA kitu cha kwanza mtoto kurithi ni Akili vingine ni Extra.
  13. Mapico

    JamiiForums Tanzania Wanaume wajiandae kwa usawa mkubwa zaidi na wanawake wenye nguvu badala ya kulalamika

    Kuna Baadhi ya Majukumu kwa hawa mama zetu inabidi tuingilie kati tu. la si Hivyo Chombo kinazama huku Mapambio yakikolezwa na Muimbishaji. No . 50/50 .at all.
Back
Top Bottom