Recent content by maph

  1. maph

    Gps garmin etrex 20

    Uko wapi 0714561669 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. maph

    Series (Special thread)

    Imetoka mpka episode 8 angalia www.123movies.com
  3. maph

    HAPA LAZIMA UKIMBIE

    Nimecheka hadi machozi da!
  4. maph

    HAPA LAZIMA UKIMBIE

    Ahaaaaa nimecheka mpaka machozi yametoka da!
  5. maph

    Lucy komba this is too much bhana

    Jamani mbona kapendeza au macho yangu
  6. maph

    Fasheni ya Mwendokasi.

    Mhuuuuu ngoja nitafute miwani sioni vizuri
  7. maph

    Lucifer Beer

    Kuna watu wanaabudu shetani bila kificho !
  8. maph

    India: Mwanaume abeba mwili wa mkewe Km 12

    Du! Walioruhusu nao wananmatatizo sana hata utu hawana da! Pole sana baba!
  9. maph

    Msaada: Toyota oppa imeanza matatizo baada ya kuifanyia service

    Ok, lengo kubwa nilikuwa nataka huyu jamaa aniuzie hiyo gari ikiwa hivyo! Tatizo kama hilo linasababishwa na Nozeli hapo hauna ujaja badilisha nozeli tu mambo yatuwa safi , ugojwa wa Opa ni nozeli halafu safisha tank la mafuta mchezo umeisha.
  10. maph

    Msaada: Toyota oppa imeanza matatizo baada ya kuifanyia service

    Mm yangu ilisha nishumbua mpaka balaa unaweza kuona Thread zangu humu ndani nilikuwa nalalamika kama wewe !
  11. maph

    Msaada: Toyota oppa imeanza matatizo baada ya kuifanyia service

    Siyo kuwa tapeli ila nataka tuwasiliane kwa njia ya simu siyo kuchart hapa , mm hilo tatizo lilsha nikuta kwahiyo tukiongea naye nitajua !
  12. maph

    Msaada: Toyota oppa imeanza matatizo baada ya kuifanyia service

    Tatizo ndogo tu nimekuja inbox ebu nifate
  13. maph

    Msaada: Toyota oppa imeanza matatizo baada ya kuifanyia service

    Na mm nilikuwa na opa ikanifaniyia hivyo ebu ni pm nikwambie kitu
Back
Top Bottom