Recent content by mapesa yamejaa

  1. mapesa yamejaa

    JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Kuna jirani yangu mgambo kanimegea siri ya jw kukagua nguo zao mtaani kuwa ni mbinu ya kuichukua nchi kama wanavyofanya wenzao wa gaboni,Mali na Burkina Faso.wameona huyu mkizimkazi nchi anaipeleka korongoni
  2. mapesa yamejaa

    JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Jeshi kwa sasa limekuwa la hovyo sana .siasa imekithili jeshini.wanaacha kushughulika na waharibifu wa maliasili kama wale wanaoingia mikataba ambayo mashariti yake ni kichaa tu atakayekubali(mkataba wa bandari).kuna haja ya kuwapeleka afrika magharibi ili kuwapa uzoefu namna ya kuwashughulikia...
  3. mapesa yamejaa

    Dongo la Wakenya ni aibu kwa Tanzania kama Taifa

    Hili kongamanao limekula pesa za umma tu na faida hamna.changamoto za kilimo zinajulikana haihitaji hata kufanya kongamano.tunakiongozi mpenda makongamano Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mapesa yamejaa

    Je, Wanajeshi watalazimisha kuchukua nguo za kijeshi hata kwa wanaomiliki kwaajili kufanya kazi za sanaa wakati sheria haijazuia?

    Faini miambili?nikizipata nitakuwa nazivaa kila Siku na nikikamatwa nalipa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mapesa yamejaa

    Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Wanaficha ili watu wasijue kuwa mwarabu anachimba madini.tunaokaa karibu tunajua madudu yote Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mapesa yamejaa

    Vituo vingi vya Dar vimegoma kuuza Mafuta leo Septemba 5, 2023

    Yote haya yamesababishwa na uwepo wa serikali goigoi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mapesa yamejaa

    Vituo vingi vya Dar vimegoma kuuza Mafuta leo Septemba 5, 2023

    Najiuliza wanajeshi wanasubili nini kuiokoa nchi yetu.wenzao wa africa magharibi hawawaoni?
  8. mapesa yamejaa

    Kwanini awamu ya sita haina Waziri machachari?

    Umachachari unatokana na kiranja wao(namba moja)kama ni machachari na mawaziri lazima watapatikana machachari lakini kiranja wao akiwa amalala fofofo na wao watalala hivyohivyo
  9. mapesa yamejaa

    Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

    Huyu maharage alitukera sana wtz kusema si busara kushusha bei ya umeme hata kama mradi wa JNHEP wenye mg2215 kukamilika.kama hawataki kushusha bei ya umeme sasa huo mradi utakuwa na faida gani?.shusha bei ili wateja wawe wengi na uzalishaji viwandani uwe nafuu na kupelekea unafuu wa maisha kwa...
  10. mapesa yamejaa

    Orodha ya Wahanga Wakuu Ukosoaji wa Awamu ya Sita

    Mother anaongoza kidikteta kama Idd amin Dada na Mobutu seseko.
  11. mapesa yamejaa

    Dkt. Slaa: Nitaendelea kusema ninachoamini, asema hajutii kuondolewa hadhi ya balozi

    Kumuondolea ubalozi imethihilisha kuwa,ukiwa serikalini hata kama kuna mambo ya kipuuzi hutakiwi kusema kuwa serikaliimekosea.wanataka wasifiwe tu
  12. mapesa yamejaa

    Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

    Nakubaliana na were kabisa.kwanza afrika hakujawahi kutokea mwanamke akagombea urais akashinda isipokuwa mazingira huwa yanawafanya kuupata urais kwa mseleleko(wa kurithi) Joyce banda wa Malawi alirithi baada ya rais kufariki na hivyohivyo na hapa Tanzania.wtz tumejionea awamu ambayo nchi yetu...
  13. mapesa yamejaa

    Siku Rais wa nchi akianzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mkewe au mumewe kuwa Mfalne/ Malkia, si pia atakuwa sahihi?

    Kwa tanzania inawezekana kabisa kwa sababu sheria huwa zinapindishwa.chawa wake wataanza kusemarais anaruhusiwa kuchagua yeyote na kauri ya rais wa tz ni sheria
  14. mapesa yamejaa

    Dar mgao wa maji umeanza kimyakimya Serikali ipo kimya

    Makabe,msakuzi,misumi,mpigi magoe,kwa lubaba n.k.haya maeneo hayajaungwa maji miaka 62 sasa ya uhuru.mvua ikinyesha ndo wanapata maji.watu wa maeneo haya washukuru tu kwa kuwa mvua hua inanyesha mara moja moja hata kipindi cha kiangazi.kila siku aweso nasifiwa wakati utendaji kazi wake ni sifuri...
Back
Top Bottom