Recent content by mapenz matam

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story! All is Fair in Love and War!

    Lara 1
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ipi njia iliyothibitika ya kupata mtoto mwenye uwezo mkubwa kiakili “genius”?

    Mkuu ninashida nazo naomba msaadaaa ntazipataje hioz Almond?
  3. M

    JamiiForums Tanzania COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Duh sehemu ya sita bado tu wakuu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Mkuu naomba na mimi please kama hautajali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbegu ya korosho nipo dodoma

    Karibu tulime huku Mkoka wilaya ya kongwa Korosho zinakubali sana na mashamba bei chee. Miche inapatikana hapa magereza. Ukiangalia hii miche nilipanda mwez wa 2 mwaka huu. hakika hii mbegu ni bora sana na inakubali sana kanda ya kati. Karibuni sana wadau
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uchapishaji binafsi (self pulbishing)

    Mkuu hapo hilo ni chaguo lako unataka mteja akipate katika namna gani kati ya hizo ulizozitakja hapo juu. Amazon ndio wataprint na kumtumia mteja wewe ushaandika na kuchapisha baasi. Kwa maelezo zaidi kaka njoo katika channel hii JIFUNZE "SELF PUBLISHING" YA VITABU AMAZON
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uchapishaji binafsi (self pulbishing)

    Mkuu maswali haya yoote nitayajibu na kukupa mifano dhahiri na kuwaongoza nini cha kufanya karibu hapa katika channel hii JIFUNZE "SELF PUBLISHING" YA VITABU AMAZON
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uchapishaji binafsi (self pulbishing)

    JIFUNZE "SELF PUBLISHING" YA VITABU AMAZON Angalia hioyo mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uchapishaji binafsi (self pulbishing)

    Noted wakuu karibuni sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya uchapishaji binafsi (self pulbishing)

    Wakuu habari za jioni. Naomba mods msiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine kwani huu ni special kabisaa JINSI YA KUFANYA UCHAPISHAJI BINAFSI (SELF PULBISHING) UTANGULIZI Ni ndoto ya watu wengi sana kuchapisha vitabu vyao na kuwafikia hadhira husika. Ila tafiti zinaonesha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtanzania anavyoweza ku- "self publish" - Create space au Lulu .....

    Jamani nitatoa uzi kamili juu ya hili suala ni mambo marefu kidogo. Ila upande wa tax info jaza wewe ni non Us citizen kuuna maelezo mengi watakupa ujaze utajaza. kwa kuwa wewe ni non Us citizen royalties utalipwa kwa njia ya check. wao wanakutumia check unaenda bank unatoa mkwanja wako. Na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtanzania anavyoweza ku- "self publish" - Create space au Lulu .....

    Yeah now Create Space imeunganishwa na KDP madhara ya ke ni kuwa kwa sasa hutaweza ku publish kitabu kwa lugha ya kiswahili tena. maana KDP haitumii Kiswahili.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtanzania anavyoweza ku- "self publish" - Create space au Lulu .....

    Kakak maelezo ni marefu mnoo mnoo sasa ila kwa kifupi ni kuwa uki publish kitabu create space au Lulu kitauza na Amazon pia. cha muhimu edit kitabu vizuri na tafta cover zuri la kitabu. mimi kitabu changu cha kwanza niliself publish niliuza kopi 1500+ kwa bei ya $4 you can imagine hela iko nje...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtanzania anavyoweza ku- "self publish" - Create space au Lulu .....

    Okay iko hivi kwanza inabidi ujue kitabu unachotaka ku publish ni size gan either 5X8 au zaidi. Baada ya hapo (kwa create space). Ingia katika web yao tafta template ya kitabu husika kisha copy na paste kitabu chako katika template hiyo. Mind you template ziko za aina mbili kuna yenye maneno na...
Back
Top Bottom