Ipi njia iliyothibitika ya kupata mtoto mwenye uwezo mkubwa kiakili “genius”?

Kwangu mimi Genius ni Inborn trait! Vyakula ni kwa ajili ya kujenga imara mifumo ya mwili.

Mtu kuwa na akili sana ni more of a Genetic issue. Kama katika ukoo bibi alikuwa kilaza ujue kuna matatizo mengi yatajitokeza mbeleni. Ila bibi akiwa vizuri kisha mama mtu nae akawa vizuri ujue possibility ya kupata mashine ni kubwa.
 
Unaiinvest kwenye makapi unategemea upate Genius? Get serious guys. Uzae na slayqueen upate mtoto Genius kweli? 🤣🤣🤣
kuna watu usione wanasomeshe watoto shule nzuri za private wengine ni statrategy ya kutaka mwanae aoe au aolewe na familia za kueleweka za watoto wenzie waliosoma naye shule za kueleweka

wanigeria na wakenya wengi husoma masomo magumu wanayojua scholarship ziko nje nje na kazi nje nje nje ya nchi wakienda huko wanabaki huko huko wanaoa na kuolewa huko huko.Raia wanaoa na kuolewa nje wakenya na wa nigeria wanaongoza na hiyo strategy improve kuwa sahihi mfano jaluo baba yake obama alisoma sana akatimukia marekani kule akadunga mimba mama obama mzungu kafyatua raisi wa marekani

Mzee obama angezaa na mwanamke wa kijaluo mwenzie angeishia kupata mitoto miimba nyimbo za kijaluo misibani

uwekezaji muhimu
 
genious ni ugojwaaa. yan kuna vitu vilizid au dna disorder amabzo hazielezeki amabzo situation hio iki mkuta mtoto kuna mambo hayaa mawil mosi mtoto kuwa na uwezo sana wa kufikilikiria pili mtoto anaweza kuwa kilazaa sio kawaida muda mwingine kupelekea matazito ya ubongo sijui haukui mara sijui taarifa hazifik sayanci yenyewe kwenye ubongo wa beings of adam wamezima fegi ila hawasem
Fact


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wale wakina #Einstein mwenyez Mungu aliwaleta tu mara moja kubadirisha ulimwengu kiteknolojia kisha wasepe zao.. Sizani kama kwa karne hizi wanazaliwa tena.. Wale Mungu aliwaleta kwa kazi maalum ndio maana hawazaa zaa kama binadamu wa kawaida, wengine walifia hotelini kama Nikola Tesla, wengine ndio ata hawakuwahi kuwa na mademu ad kufa kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wale wakina #Einstein mwenyez Mungu aliwaleta tu mara moja kubadirisha ulimwengu kiteknolojia kisha wasepe zao.. Sizani kama kwa karne hizi wanazaliwa tena.. Wale Mungu aliwaleta kwa kazi maalum ndio maana hawazaa zaa kama binadamu wa kawaida, wengine walifia hotelini kama Nikola Tesla, wengine ndio ata hawakuwahi kuwa na mademu ad kufa kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwepo wengi lakin huyo ndo alikuwa nondo kuliko wengine
 
I almond apa kilombero inauzwa ei sawa na bure lakini amna wanunuaji😂 utaskia nipe mahindi debe 100, apo mtot anapigwa uji na maudongo mpaka anaota kucha kama punje za maindi
Mkuu ninashida nazo naomba msaadaaa ntazipataje hioz Almond?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom