mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,910
- 5,255
blaza umeona isiwe shidaaAugustine Lyatonga Mrema.
blaza umeona isiwe shidaaAugustine Lyatonga Mrema.
Raisi acha basi
Kale kazee nako kamekufa kama mbuzi pumbavu,kalifikiri ni kamungu mpaka Leo kifo chake hajieleweki.mwosha huoshwa.Baadhi ya mambo yaliyogharimu uhai wake ni pamoja na kuunga mkono waziwazi baadhi ya masuala kama vle;
Mzee wa Kiraracha anakamata tausi na madini airport. Mizigo hyo ikadaiwa ni ya fest ledi wa mzee wa fair.
Kulikuwa na fukuto mjengoni la kudai serikali 3 chini ya Njelu Kisaka na G55 yake ambao walipata nguvu kubwa ya Mwana Idara no.1
Nani asiyejua jinsi Mwana Idara no. 1 alivyokuwa upande wa Mzee wa Mtera kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 1995. Kiasi cha kupishana kabisa na Mzee Mchonga ambaye mpaka anakufa hakuwahi kumsamehe Mzee wa Mtera
Pia Mwana Idara alikuwa mpenzi mkubwa wa mabadiliko huko kwenye karafuu na nazi, alitamani Mgombea mkongwe wa Urais kila uchaguzi huko kwenye karafuu na nazi awe Rais lkn haikuwa hvyo.
Hivyo kuna wanaoamini Mchonga alitumia kura yake ya turufu katika kuamua hatma ya mwanaidara.
Aksanteni.
Kama angekua ni slim angetuma watu wake na sio polisi wetu
Kale kazee nako kamekufa kama mbuzi pumbavu,kalifikiri ni kamungu mpaka Leo kifo chake hajieleweki.mwosha huoshwa.
Weka link mkuu tuone na mzeru ndio mbena malumbi?Mkuu
Jukwaa Hili Kuna Mjadala Uliwekwa Kuhusu Sakata Zima Mpaka Kifo Cha Mzeru Kule Airport
Huyu mzee wa kiraracha nae alikuwa mzee wa idaraDoh! Kama ali surrender na bado wakamweka chuma it means aliwekwa za kifuani Sasa!
Kumbe alikuwa na mgombea wake mfukoni, ndio kilicho mcost. Ila hapo kuna utata kidogo huyo Che nka angeweza vipi ku injinia hiyo kitu wakati na yeye ndio alikuwa anaanza kuingia ofisini? Kwangu Mimi Naona hiyo 95 mzee wa kiraracha alikuwa ana connection kwenye system kuliko huyo Che nka..sasa aliwezaje kuamuru mtu aondolewe wakati hakuwa na mizizi kule?
Mno, alikuwa anazikusanya na kuzipokea vibaya Sana! Shehata!Huyu mzee wa kiraracha nae alikuwa mzee wa idara
Wanaitwa moleUkiwa kwenye baadhi ya idara lazima ujue maisha yako yote umeapa kutumikia serikali na sio yeyote yule. Sio kabila lako.
Kama kweli marehemu alihusika kupeleka siri kwa mzee wa kiraracha basi alikuwa msaliti. Wababe wa biashara za hatari wanawaita 'rat' wasaliti wa namna hiyo.
Uzi unatembea kwa code mkuu...ni one and only former vice PMHvi mzee kiraracha ndo nani?
Du! Ebu watu wa zamani mje mtiririshe nondo.
Ushawahi kusikia watu wanaitwa double agents?
Dah! mkuu, taratibu.[/QUOKakanye huko pumbavu.unajua hizi stori ndio zinanifanyaga nifikirie kwamba Mungu ni jambo lililofichika na lakufikirika sana.kifo kiboko ya binaadamu
Ndiyo Huyo HuyoWeka link mkuu tuone na mzeru ndio mbena malumbi?
Has a kama hujui kichwa kipo wapi.Usimchimbe nyoka kijana..
Baadhi ya mambo yaliyogharimu uhai wake ni pamoja na kuunga mkono waziwazi baadhi ya masuala kama vle;
Mzee wa Kiraracha anakamata tausi na madini airport. Mizigo hyo ikadaiwa ni ya fest ledi wa mzee wa fair.
Kulikuwa na fukuto mjengoni la kudai serikali 3 chini ya Njelu Kisaka na G55 yake ambao walipata nguvu kubwa ya Mwana Idara no.1
Nani asiyejua jinsi Mwana Idara no. 1 alivyokuwa upande wa Mzee wa Mtera kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 1995. Kiasi cha kupishana kabisa na Mzee Mchonga ambaye mpaka anakufa hakuwahi kumsamehe Mzee wa Mtera
Pia Mwana Idara alikuwa mpenzi mkubwa wa mabadiliko huko kwenye karafuu na nazi, alitamani Mgombea mkongwe wa Urais kila uchaguzi huko kwenye karafuu na nazi awe Rais lkn haikuwa hvyo.
Hivyo kuna wanaoamini Mchonga alitumia kura yake ya turufu katika kuamua hatma ya mwanaidara.
Aksanteni.
MremaHvi mzee kiraracha ndo nani?