Angalau nimepata quote inayoeleza vinginevyo. Sisi wengine si washabiki wa vyama vya siasa lakini tumeshaona na kusikia nchi nyingine zikitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa viongozi wao wameongea kwa simu na kiongozi wa nchi fulani. Hivyo si jambo la kushangaza. Tusiwaone Watanzania...
Kampuni inayo andika lugha ya namna hii `you have get `, many applicant are`... repeat again na `so as` nyingi hivyo katika sentensi moja itoshe kukuthibitishia kuwa hapo hakuna uhalisia. Shtuka ndugu. Usidhani ni fursa huenda wewe ndiwe fursa yenyewe kwao.
Hizi sifa sasa khaah! Yaani ndani ya muda mfupi tu midege ya kisasa halafu mipya inaingia tu na kumilikiwa na Tanzania?! Sasa kwa sie tusiopendezwa na haya maendeleo mnatuachia kipi cha kukosoa? Aah kwanza jidege lenyewe limepakwa rangi ya chokaa kama geto kwangu tu! (Daah anagalau nimepata cha...
Ndiooo! Si unatujua sisi ni wazee wa ndioo tu mkuu? Na ikitokea mh. akabatilisha waraka huo tunageuka nyuzi 180 na kumsifu kweli kweli kama vile hatukuusapoti kwa nguvu zote. Hivi bado hujatujua tu mkuu?:):D. Duuh kumbe mi sio mbunge wa CCM! Sorry niljihisi mbunge tajwa ghafla.:D
Mkuu na mimi hilo nimeliona na nilitaka kulisema pia. Au labda kwa kuwa ni nukuu ya alichosema mzungumzaji, ndiyo sababu wakalitumia kama lilivyosemwa!
Fursa hii! `Ninazindika nyumba na kuwezesha wenye nyumba kuhama asubuhi`. Bei ni shilingi laki mbili tu plus VAT. Njoo pm. Kuuliza swali elfu kumi. Wahi mapema zindiko limebaki chache saana!:(:D
Note: Hivi wadau kwa tangazo hili naweza kula vichwa kwelii? Kuna Watz wanaweza kuingia mkenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.