mimi nadhan magu yuko sahihi kusema kua mshahara wake ni mil 9.5 but haimaanishi kua kila mwisho wa mwezi anapokea mil 9.5....experience yangu basic salary kwa vigogo weng hata wakuu wa taasisihuwa za kawaida ila gross salary ndo inakua ndefu....so magu atuambie gross salary yake ni...
Mshahara unalipwa na hazina??? If yes bas crdb huwa wanakata marejesho ya mwezi husika kama mkopo wako umepitishwa baada ya tarehe 7 ya kila mwez...this is because payroll ya serikal inafungungwa baada ya tarehe 7...
Pole sn TrapQueen.....sina ujuz na tiba yake bt ninachokijua ni kwamba yy ameacha kujishughulisha na pornography??pia anamepata ushaur wa daktar wakueleweka???tiba ya hayo maradh inategemea sn na response ya mgojwa ...
Mkuu tumia akili na si moyo au hisia zako...huo ni mkataba mbovu piga chini coz alishakusalit in the first place huna haja yakurudiana nae...kwa mtazamo mwingine huyo ni opportunist ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.