asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Umburulaz tu huo.
Hama unapoishi na namba yake futa kwenye simu yako
yap baada ya muda utamsahau tu hakuna kisichosahaulika
Tafuta mwingine ila uoe mapema, eeeh more than five years unajipigia tu mtoto wa mwenzio!!!!
Wife material unamtengeneza mwenyewe, we unataka ready made tehYaan eva ungejua watoto wa huku kuja kumpata wife material inachukua muda... dah cjui ntafanya nn
Wife material unamtengeneza mwenyewe, we unataka ready made teh
Mkuu tumia akili na si moyo au hisia zako...huo ni mkataba mbovu piga chini coz alishakusalit in the first place huna haja yakurudiana nae...kwa mtazamo mwingine huyo ni opportunist ..
Ngoja nikutafutie hata kabinamu kangu kakupote mtimahata saiv kwa kuwa nimeconfess humu, nadeclare nitamtafuta mwingine kiukwel roho inaniuma jinsi anavyomfanyia jamaa nikawa nafikiria hata nikimuoa na mm atanifanyia hiv... yaan wanawake dah... na mm ujinga nilioufanya.. ctakuja kurudia...
ahsante Eva nitampata tu wa kumuoa Mungu anisamehe kwa hii dhambi...
Ngoja nikutafutie hata kabinamu kangu kakupote mtima
Ndugu achana na huyu mke wa mtu. Hata kama hajatambulishwa si mke wako. Muombe Mungu akupe mke wako ambaye ni mwaminifu na mtiifu ambaye mtakuwa pmj mpaka kifo kiwatenganishe. Mungu akubariki.
Dah! Aisee! Hivi una umri gani mkuu!
Yaan sijui akili yako ikoje, hili nalo la kuomba ushauri