Recent content by mapa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msikieni Bwana Benson Bana BBC Swahili

    "Dr." Bana coment zake ni za kutafuta ulaji wa kupewa vyeo vya kuteuliwa na Bwana Mkubwa JK. Imekula kwake kabisaaa. hana jipya kabisa zaid ya kuongea kisichoendana na wakati
  2. M

    JamiiForums Tanzania MHAVILLE na MSHANA rekebisheni udhaifu huu

    Acha kupayuka payuka wewe. Tupongeze kitu gani hicho? hebu tuambie hicho kizuri unachokiona. lililosemwa ndo ukweli wenyewe. TV hizi hazitupatii ukweli wa mambo! ni kuonesha yale yanayovutia kwa upande mmoja tu bila kuanika ukweli wote hadharani kwa umma wa watanzania. Kama alivyosema mtoa mada...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sio tishio Arumeru, Nape atimkia Dar akimbia siasa za Arumeru

    kwa hakika mtu mdadidisi na mwenye kujua anachoshabikia akipambanua hiyo picha atabaini kuwa Robo ya watu hao ndiyo wenye sifa ya kuwa wapiga kura wa taifa hili. Wengine na wapiga kura tarajiwa kwa mwaka 2015 au 2020. Hivyo basi nii vema ushabiki ukaendana na hali halisi na mazingira yenyewe. Na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mimi na nyumba yangu TUMEAMUA CHADEMA mpaka Kieleweke

    Nimeipenda sana hii. kazana kulea familia iwe na afya tele
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    kwa hakika umenifurahisha sana na comment yako hii. kwa wataalamu wa uchambuzi wa maandiko ya fasihi natumaini hapo wanasema Lissu kafanikiwa katika uchambuzi huu. Caren big up
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge CHADEMA wamedanganyika?

    Kwa hakika nilipitia kwa umakini makala ya Dilunga lakini nimeona analysis ambayo inaangalia upande mmoja tu wa shilingi! amedandia hoja ambayo haifahamu vizuri! sijui kwa dilunga tatizo la cdm kutoka nje ni nini! ni vema akatueleza kilichomkera yeye! suala ni muswada kusomwa kwa mara ya kwanza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    bado wanaamini wako kutawala milele na kusifiwa na TBC yao! siku ya siku wataumbuka tuuuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    wenzao wa cdm wakiwa wanapekua karatasi kupata hoja makini wao wanafunua glass! sioni aliyeonesha uelewa wa muswada hata mmoja! sijui huko kwa wananchi wanaowawakilisha watawaeleza nini!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    ugua pole kiongozi
  10. M

    JamiiForums Tanzania JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    ha haaaa! hii ni comedy tamu sana! inaonekana kuna harufu ya uanamtandao!! tusubiri mwishi wake au utakuwa wa mbwembwe nyingiii na mwisho wake kama ule wa Richmond?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya msemaji wa Upinzani Nishati na Madini-John Mnyika

    big up Mnyika!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo yamtaka Kikwete ataje viongozi wa dini wanaojihusisha na madawa ya kulevya

    Mvumbuzi naungana na wewe kabisaaaa!! Thanx
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    Aisee Mvumbuzi ni siasa za Kimajimbo na Sheria za kimajimbo ambayo inapingana na Sheria mama!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hopeless

    Kwa mtu ambaye hajui kazi za chama cha kisiasa ataona yanayofanywa na CHADEMA ni tishio kwa Taifa!! Kama chama kinawajibu wa kuishtua dola pale ilipolala na kutotimiza majukumu yake kwani lengo la vyote kwa pamoja is to capture state power!! Is NOT Hopeless kama unavyosema!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya wanapinduzi wa Nyamongo, TARIME

    Kwa mtazamo wangu ni mapema sana kuwaita "wanamapinduzi" au "wezi" kwani ukweli wa tukio naona bado haujawekwa wazi na wahusika!
Back
Top Bottom