Sio tishio Arumeru, Nape atimkia Dar akimbia siasa za Arumeru

Kwa Hisani ya MIsupu

Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru

Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru

2.+mgombea+wa+CCM+Sioi+Sumari+akiingia+kwenye+mkutano+huo+wa+Ngarasero+leo+jioni.jpg

1.Sioi+akisalimia+wananchi+kwenye+mkuatno+huo+wa+Ngarasero,+Usa+River.jpg

mbona wengi wanaonekana hapo ni wale wanaoandika bongo flava kwenye mtihani?
 
Ngoma nzito Arumeru kati ya CCM na chadema. Ushindi hautabiriki.

Tumeona picha za ushindi CCM na tumeona picha za ushindi chadema.

Mbinu za mwisho lalala salama zina nafasi za kukipa ushindi chama kitakachokubarika kwa wananchi wa Arumeru

Kwa mara ya kwanza mamaaaa porojo umekuwa objective!!! nimeshangaaa sana na nimefurahi pia. Siku zote ungekuwaga hivi ungetupunguzia machungu ya kumkosa dada Faizafoxy. Kwa hili nakupa heshima."Shikamoo dada" endelea hivyohivyo
 
hao wanavutwa na miziki na show zinazopigwa na wasanii lakini chadema watu wanavutwa na sera tu. walikuja kumuona chege na temba hapo.
 
Angalia hapo wanafunzi wameruhusa mapema ili wakabadili uniform waje kwenye mkutano we angalia wala uhitaji darubini au zoom....natamani mwenye picha ya yule aliesema sendeka wamempamba kwa lipustick na hereni aziweke hapa
 
Ngoma nzito Arumeru kati ya CCM na chadema. Ushindi hautabiriki.

Tumeona picha za ushindi CCM na tumeona picha za ushindi chadema.

Mbinu za mwisho lalala salama zina nafasi za kukipa ushindi chama kitakachokubarika kwa wananchi wa Arumeru

ccm oyeee!
 
Ushindi kwa CCM lazima, Tanzania bado hamna upinzani! Labda mpaka hapo Zito atakapokuwa rais..teh teh teh:becky:

Mkuu acha kutema Pumba!! Yaani Lazima mnajipigia wenyewe kura au Mtaiba?? Fafanua basi mkuu!!
 
Kwa Hisani ya MIsupu

Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru

Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru

2.+mgombea+wa+CCM+Sioi+Sumari+akiingia+kwenye+mkutano+huo+wa+Ngarasero+leo+jioni.jpg

1.Sioi+akisalimia+wananchi+kwenye+mkuatno+huo+wa+Ngarasero,+Usa+River.jpg
Kweli ze komedi kiboko....
 
hizi ndizo ajira zilizo tangazwa na ccm. bado ujinga wa mtanzania unafanywa mtaji kwa ccm. hicho kijiwe cha huyo mama hakizidi elfu tatu.
Maisha ni kupanga na kuchagua, as long as anakuwa satisfied hamna tatizo!!
CCM mnajitekenya wenyewe alafu mnacheka wenyewe.
Bora sisi tunaocheka....kuliko nyie mnaolia muda wote ...
Mkuu acha kutema Pumba!! Yaani Lazima mnajipigia wenyewe kura au Mtaiba?? Fafanua basi mkuu!!
CCM tumeshazoea kushinda....huo msamiati KUSHINDWA hatunao kabisa!!!
Tangu lini mtoto siyo riziki akaongea kwa papara? Nyambafff.....
Kuwa mstaarabu...ukitaka tuanze kuwaongelea viongozi wa CDM na tabia yao hii thread haitatosha!
 
View attachment 50283
Jionee Sioi anavyokubalika.....

Kuna rafiki yangu kanitumia katuni ya kipanya leo! Nimecheka sana!! Ametofautisha watu na wafu!! Of course watu ni kama mimi na wewe, ila wafu akasema ni watu ambao wanaweza kulipia hata pumzi yao kama sirikali ikiwataka wafanye hivyo! Akaongeza kuwa wafu ni kama mabehewa, wanafuata kichwa kinapokwenda!! Wanapiga kura kwa mazoea!!

Rejao, nadhani umenielewa.... No offence lakini, ila mama huyu anaweza kuwa ana-fall ndani ya mfano wa kipanya!!
 
CCM inachofanya ni kukuandalia mazingira mazuri, wewe ufanye uwezalo kujikwamua! ndiyo maana huyu mama anaridhika na anachokipata, amani ndio msingi wa maendeleo. Watu wengi sana wameanzia huku na sasa ni mamilionea, mfano rahisi ni ndugu zangu wachaga!
Hawa ndugu zetu CDM wanachofanya ni kuleta vurugu, ukiangalia Arusha mjini hapakaliki, Mwanza hapakaliki, Mbeya na iringa hali ni mbaya kabisa. Hii ni kwa sababu tu ya sumu ya chuki inayomwagwa na hawa wapinzani waliopata kibahati bahati ubunge kwenye hayo majimbo!
 
Kwa Hisani ya MIsupu

Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru

Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru

2.+mgombea+wa+CCM+Sioi+Sumari+akiingia+kwenye+mkutano+huo+wa+Ngarasero+leo+jioni.jpg

1.Sioi+akisalimia+wananchi+kwenye+mkuatno+huo+wa+Ngarasero,+Usa+River.jpg
kwa hakika mtu mdadidisi na mwenye kujua anachoshabikia akipambanua hiyo picha atabaini kuwa Robo ya watu hao ndiyo wenye sifa ya kuwa wapiga kura wa taifa hili. Wengine na wapiga kura tarajiwa kwa mwaka 2015 au 2020. Hivyo basi nii vema ushabiki ukaendana na hali halisi na mazingira yenyewe. Na walio na sifa ya kupiga kura hapo wanaoonekana ni akina mama ambao kwa upendo wao wameamua kuja kujitokeza kuwapa CCM matumaini ilhali siku ya kupiga kura watakayemchagua wanamjua. Wamechoshwa na siasa uchwara kwa miaka mingi.
 
Nusu ya walio hapo ni CDM, na mbaya zaidi huweziwajua maana wanavaa hizo dekio za ccm kama wana-GAMBAZ wengineo, na walishauriwa na Mbowe kuwa wakiletewa wazivae kama kawa, lakini SIRI YAO WAITUNZE MOYONI.
KULA CCM, kura cdm!
Ukitaka kujua vyema hilo, soma tukio la jana la Helikopta pale MAJIYACHAI, kundi lote lililokuwa KWENYE MKUTANO WA GAMBAZ walionyesha alama ya V baada ya kupita helikopta ya cdm!.. ha ha haaaa!
sAFARI HII IMEBANA KWENU!
Mkuu there is one thing you have to know.... Wenye Jezy wameshajicommit, wenye kushangilia is Ajabu hata kura hawapigi..
 
CCM inachofanya ni kukuandalia mazingira mazuri, wewe ufanye uwezalo kujikwamua! ndiyo maana huyu mama anaridhika na anachokipata, amani ndio msingi wa maendeleo. Watu wengi sana wameanzia huku na sasa ni mamilionea, mfano rahisi ni ndugu zangu wachaga!
Hawa ndugu zetu CDM wanachofanya ni kuleta vurugu, ukiangalia Arusha mjini hapakaliki, Mwanza hapakaliki, Mbeya na iringa hali ni mbaya kabisa. Hii ni kwa sababu tu ya sumu ya chuki inayomwagwa na hawa wapinzani waliopata kibahati bahati ubunge kwenye hayo majimbo!

Hakika kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
Nipo Arusha na kunakalika na lema ni mbunge wa milele hapo ktk mjii wetu huu wa ukombozi.
Wameru wamechoka kuchekwa na wenzao wa moshi na arusha na sasa ndo mda muafaka wa kumkataa shetani.
Wameru wanasema walimchagua marehemu Sumari kwasababu aliwadanganya kuwa wakimchagua tu lazima raisi atamteua kuwa waziri wa fedha na kuwasaidia wameru coz yupo na pesa zetu karibu.
Safari hii tukiiinua mguu tunauteremsha kuelekea mbele na sio nyuma kamwe- by mzee wa kimeru
.
 
Jeykey Hizi picha za kuchukua kwenye michuzi sisikutishe,ukweli hali ni tete hao unaowaona hapo ni umati mdogo sana ukilinganisha na mikutano ya CDM. na CCM wamekuwa wakizomba watu kutoka katika kata mbali mbali kuwaleta kwenye mikutano yao iliionekane imejaza watu.Mfano mmoja ni katika mkutano wao wa Akeri ambako ndipo anapotokea SIOI ili kujaribu kuvunja rekodi ya umati uliohudhuria mkutano wa CDM na kuondoa aibu iliwaladhimu kubeba watu kama kawaida yenu lakini bado haikusaidi.Pili hao watu unaowaona hapo pia kuna washabiki na wanachama wa CDM coz CDM siyo kama CCM katika mikutano yao wanawahamasisha wanachama na washabiki wao kuhudhuria mikutano ya ccm pia kusikiliza sera zao kitu ambacho CCM wao wanawakataza wanachama wao kukudhuria katika mikutano ya CDM.
Kwasisi ambapo tupo katika eneo la tukio kuna vitu vingi tunaviona na kusikia kutoka kwa wapiga kura tofauti ya anayeandika kutoka nje ya eneo la tukio. Ukweli ni kwamba hata hao wanachama wa CCM na washabiki wa wake hawamkubali SIOI na wanasema wataendelea kuwa CCM ila kwa hili ni bora wampe Nassari.Katika uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuwa kitendo cha SIOI kupitishwa hakikuwafurahisha wengi na hata wanaosema kuwa makundi yameisha siyo kweli.

Labda ni kuambie tu kuwa ukuiachilia mbali mikutano ukipiwa kwenye vifodi,vijiwe na hata mikusanyiko ya watu wanadai ushawishi wa Sioi ni mdogo sana kwa wananchi wa meru hii inatokana na uwezo wake mdogo wa kujenga hoja,kujua mazingira ya meru na watu wake pia ugeni wake ndani ya siasa.

Mwisho kabisa wanasema Soma walilolipata Igunga linatosha hawataki kuchagua mbunge wa Masaki au Mbezi beach.
 
hawa watoto mbona wengi namna hii??!!
Huwa wanafuata music au huwa wanapewa pipi??

1.Sioi+akisalimia+wananchi+kwenye+mkuatno+huo+wa+Ngarasero,+Usa+River.jpg
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom