Recent content by maoniyangu

  1. M

    HP Laptop 6910p for sale...very nice price

    nakupa laki tatu kamili, nipo dar tabata kama upo tayari hata sasa nipigie 0717396253
  2. M

    Malipo ya Sensa utata Ilala

    makarani wa sensa wilaya ya ilala kituo cha zawadi secondary wamegoma kula kiapo cha kufanya kazi ya sensa mpaka watakapopewa malipo ya semina ambayo hawajamaliziwa. Hakuna kinachoendelea hapa, ilibidi watu wapewe vifaa leo ila hata vifaa havijaonekana. Sidhani kama kuna sensa hapa, serikali...
  3. M

    Ningalikuwa Kikwete, ningaliwateua mawaziri wengi kutoka Zanzibar

    kama jinsi ambavyo hawawezi kula rushwa ndivyo hivyo hivyo hawawezi kufanya kazi. Ni wazanzibari wachache wamekuwa viongozi wazuri bara, wengi hamna kitu.
  4. M

    Matumizi ya tume ya katiba

    naona kama hii tume ya katiba itakuwa na matumizi makubwa sana. Leo wamekabidhiwa jengo jipya, kubwa lenye kila kitu. Bado gharama za huduma mbali mbali ambazo wameahidiwa. Hii katiba nayo isijekuwa sehemu ya watu kuneemeka kwa ufisadi!!
  5. M

    JK aita waandishi

    habari chanel ten, raisi kesho atazindua mwongozo wa vyombo vya habari afrika, so haihusiani na baraza hapo. Wameitwa tu kushiriki. Bussiness as usual, mtangoja milele.
  6. M

    Baadhi ya Wazanzibari Wapinga Muungano wadai kura ya maoni kuhusu Muungano

    wakati muungano unaasisiwa wananchi hawakushirikishwa. Zilikuwa ni busara tu za viongozi wetu, labda kipindi kile ilionekana watu walikuwa na uelewa mdogo. Muda umepita sasa na watu wana uelewa mkubwa. Ni kwa nini isingepigwa kura ya maoni wananchi tuchague kama tunataka kuendelea na muungano au la?
  7. M

    Tusitegemee makubwa kutoka kwa wabunge wa CCM

    Ivi tulikuwa tunategemea nn kutoka kwa ccm??
  8. M

    Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

    hebu kuwa serious wewe?? Watu wanakwambia ukweli we unaona wanakuogopa. Umepigwa chini eala huku ndo usijaribu kabisa. Huwezi kushinda hata kampen manager wako akiwa jk.
  9. M

    Tusitegemee makubwa kutoka kwa wabunge wa CCM

    kutokana na mambo yanavyokwenda bungeni wengi tumeanza kupata hisia huenda pm akang'olewa. Ila tukumbuke wabunge wa ccm ni wale wale wale waliokalishana chini na kuja kupitisha muswada mbovu wa sheria ya katiba. Hawa wabunge ni wanafiki na wlichokuwa wanafanya ni kutaka kuonekana nao ni...
  10. M

    Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

    rudi tu new york kaka. Siasa za bongo hutoziweza.
  11. M

    W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao

    barabara ya tabata kimanga ni lami ya kupaka haina hata miaka mitatu ila inawekwa viraka zaidi ya mia. Hayo ndio maendeleo??
  12. M

    Madaktari Walio Katika Mafunzo MNH Wapewa Barua ya Kufukuzwa Kazi

    hiyo mat siyo ya kutegemea kabisa. kwani siku zote wako wapi?? lini wamewahi kutetea maslahi ya madaktari??
  13. M

    Muhimbili hakujatulia, graduation yavurugika!

    wewe ndio inabidi uwe wa kwanza kupimwa manake iq yako inaweza kuwa sawa na ya kuku. Huwezi kukurupuka tu bila hata ya kujua chanzo nn na kuanza kudharau watu.
  14. M

    Muhimbili hakujatulia, graduation yavurugika!

    acha kupotosha uma wewe fujo zilianza baada ya polisi kutumia nguvu kabla ya hapo hali ilikuwa shwari tu.
Back
Top Bottom