Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

Status
Not open for further replies.
ifuatayo ni orodha ya wanachama ambao wameshajitokeza mpaka muda huu. usajili bado unaendelea
1.Lutayega
2.Godwinnko
3.Eliceco
4.Hans79 ( ELIAS KOLIWAKA) email: j.hans79@yahoo.com
5. Ukweli mtupu
6.
TUMBIRI,(ametangaza na nia ya kugombea uenyekiti)
7.Kuku dume
8.mungi
9. Kalyovatipi
10. only83(amependekeza jina la CHADEMA tawi la jamii forum)
11. 1800
12. Havizya
13. Kabembe
14. Bongolala-amependekeza jina la(J Bongolala-JF branch ) anagombea nafasi ya accountant
15. STK ONE, (natangaza nia ya kugombea U - KATIBU MWENEZI)
16. Salma2015
17. Atabase Agaya.
18. Tume ya katiba(anatangaza na nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa tawi
19.ibange
20.mahoza
21.tume ya katiba(katangaza kugombea uenyekiti wa tawi)
22.kajunju

23. Sheshejr, (mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi)
24.Kingungwe
 
Kaka nina hofu, asije akawa pandikizi la kubomoa tawi letu. Wengine tunaamini sana kuwa tawi hili linaweza kuwa sehemu ya ukombozi kwa Watanzania hasa vijana wenye access na mtandao...watu kama akina tume ya katiba ni watu wa kuwapokea kwa umakini mkubwa sana (Kama amevua gamba lakini, kwa sababu hajakiri kwa kinywa chake).
ujumbe umefika nadhani muda si mrefu atatoa tamko kwa kinywa chake mwenyewe
 
hayawi hayawi sasa yamekuwa 30 tayali imetumia, katiba inaturuhusu kufungua tawi, majina ya wanachama yapo ha chini, wanachama bado wanakaribishwa kuendelea kujisajili, naombeni tupendekeze tume ya uchaguzi ili kupata uongozi wa muda

wanachama
1.Lutayega
2.Godwinnko
3.Eliceco
4.Hans79 ( ELIAS KOLIWAKA) email: j.hans79@yahoo.com
5. Ukweli mtupu
6.
TUMBIRI,(ametangaza na nia ya kugombea uenyekiti)
7.Kuku dume
8.mungi
9. Kalyovatipi
10. only83(amependekeza jina la CHADEMA tawi la jamii forum)
11. 1800
12. Havizya
13. Kabembe
14. Bongolala-amependekeza jina la(J Bongolala-JF branch ) anagombea nafasi ya accountant
15. STK ONE, (natangaza nia ya kugombea U - KATIBU MWENEZI)
16. Salma2015
17. Atabase Agaya.
18. Tume ya katiba(anatangaza na nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa tawi
19.ibange
20.mahoza
21.tume ya katiba(katangaza kugombea uenyekiti wa tawi)
22.kajunju

23. Sheshejr, (mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi)
24.Kingungwe
24. Uncle Rukus
25. 23.Sabung'ori Mang'ang'a(natangaza nia ya kugombea nafasi ya mtunza hazina wa tawi)
26. maoniyangu
27. Aaron 0768497592
28. Han'some.(anapendekeza jina la hazina janani
29. mrdash1
30. palalisote
 
Jamani malizieni hao wawili ili tuanze mchakato wa uchaguzi....mleta thread uongoze mchakato ili by tommorow tuanze mchakato wa kufungua tawi.....makao makuu yatakuwa wapi..? Bendera je? Tutaiweka wapi? Sina hofu kuhusu kukutana, JF ni uwanja mkubwa zaidi ya CHADEMA SQUARE ile ya dar, hapa patatutosha. Usishangae kesho ukasikia NYINYIEM nao wanataka kuanzisha la kwao....kama kawaida, SISI TUNAONESHA NJIA, WAO WANAFUATA.
 
Me napendekeza uwe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kwa sababu haujaonesha nia ya kugombea nafasi yoyote!!!1
 
Me napendekeza uwe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kwa sababu haujaonesha nia ya kugombea nafasi yoyote!!!1
asante kwa kunipendekeza ila itabidi kura zipigwe ili kuleta demokrasia ya kweli sio kama kule kwa magamba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom