Miti hii inauzwa pamoja na shamba Ina ukubwa wa hekta kumi+
Kuna miti iliyofikia umri wa kupasua au unaweza subiri miaka miwili
Mawasiliano piga +255623496947
Kama upo Mbeya na ulihitaji kupata mafunzo ya ufugaji wa kuku pamoja na utengenezaji wa incubator aina zote na za kisasa zaidi nione inbox nikuunge kwenye group la maandalizi Semina hii ya mafunzo
MAFUNZO YATATOLEWA BURE
Mafunzo na huduma zitakazotolewa ni Kama zifuatazo
1.utengenezaji wa...
Pole sana Mkuu ila kwa ufupi ni tatizo LA kiuelewa unaweza kukamata mchawi kumbe siyo lakini kikubwa ni kuwa Na mpango mzuri Na usikubari kukaa Na hela mfukoni wala mipango ya kwamba nikipata hela kadhaa Ndo naanza rasmi huku ukiwekeza Pesa tambua ya kuwa Pesa huwa haikai wala kutunzika...
Natafuta MTU mwenye uwezo wa kuandaa lebo za kuweka kwenye vikopo vya shampoo,lotion,mafuta ya mgando Nina maana lebo zenye grue anitafute tufanye biashara Na kwa wale wanafahamu zinakopatikana hizi Huduma naomba msaada wako
Na kama anapatikana Iringa ,Mbeya,Na MAKAMBAKO itakuwa njema zaidi
Zifuatazo ni mbinu/njia za Kupata mtaji
1.kuuza baadhi ya Mali ulizonazo kama mifugo,shamba,miti,n.k
2.kucheza upatu
3.bahati nasibu
4.msaada kutoka kwa ndugu ,jamaa Na marafiki
5.akiba uliyojiwekea mwenyewe
6.zawadi kutoka kwa watu wako wa karibu
5.kutumia kipaji ulichonacho kuingiza Pesa...
Hatimaye kwa wote wenye uhitaji wa Kitabu kizuri kwa maana kinachofafanua hatua kwa hatua namna ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za Viwandani Na utotoleshaji wa Vifaranga vya kienyeji kwa njia ya asili Na Kupata Vifaranga wengi kwa muda mfupi ,vipimo vya banda bora Na sifa zake, uandaaji Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.