Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

Status
Not open for further replies.
mkuu naomba kujua
1.waganga hua wana andika nini pale kwenye vitabu au hua wana tazama nini pale kwenye vioo vyao pindi unapokua una muelezea matatizo yako
2.je wakati mtu anapo piga ramlii kuja mambo yatayo kuja tokea huko siku za usoni na mganga ana anza kumuelezea yatayo tokea ni nini hua kina mpa yule mgaga nguvu ya kujua mambo yale
3.Je hizi dawa za kumvuta mpenzi zinaweza kufanya kazi iwapo unae mkusudia yuko mbali na wewe mathalani mko mabara tofauti
4.je dawa ya kupata utajiri wa haraka hua ina masharti gani na ni vitendea kazi vp hua vinahitajika.
Nime jaribu kupitia uzi kwa kina ila sija fanikiwa kuona haya maswali hivyo naomba uni funue mkuu
 
Jibu;

Huwa wanaangalia tatizo la mteja kupitia elimu mbali mbali za utambuzi (falaq)

2.je wakati mtu anapo piga ramlii kuja mambo yatayo kuja tokea huko siku za usoni na mganga ana anza kumuelezea yatayo tokea ni nini hua kina mpa yule mgaga nguvu ya kujua mambo yale

Jibu; ni njia za elimu ya utambuzi, dunia ina elimu nyingi sana za siri na dhahiri na iwapo zingekuwa zinazingatiwa elimu za namna hii mengi tungeyaepuka.

3.Je hizi dawa za kumvuta mpenzi zinaweza kufanya kazi iwapo unae mkusudia yuko mbali na wewe mathalani mko mabara tofauti

Jibu; Naam zinaweza kufanya kazi ila pia inategemea na dawa zenyewe maana zipo za namna mbalimbali.

4.je dawa ya kupata utajiri wa haraka hua ina masharti gani na ni vitendea kazi vp hua vinahitajika

Jibu; kwa ujumla kazi za aina hiyo ziko za namna tofauti kulingana na utaalam wa mganga husika, si vema sana kuzungumzia.
Nime jaribu kupitia uzi kwa kina ila sija fanikiwa kuona haya maswali hivyo naomba uni funue mkuu
 
Mkuu mtu mzito, unaweza kunisaidiaje kupata dawa ya kuwashikisha adabu wizi, vibaka na majambazi, wakiiba warudishe wenyewe
Dawa za namna hii zipo na mifano ipo wazi kwa baadhi ya watu humu humu Jf, pengine wangetoa ushuhuda ila mambo haya ni siri si kila mtu anapenda ajulikane iwapo amewahi kufanya chochote katika tiba za jadi.
 
Naku-pm mkuu mtu mzito, tuongee hili swala vizuri
 
mkuu naomba kujua
1.waganga hua wana andika nini pale kwenye vitabu au hua wana tazama nini pale kwenye vioo vyao pindi unapokua una muelezea matatizo yako
2.je wakati mtu anapo piga ramlii kuja mambo yatayo kuja tokea huko siku za usoni na mganga ana anza kumuelezea yatayo tokea ni nini hua kina mpa yule mgaga nguvu ya kujua mambo yale
3.Je hizi dawa za kumvuta mpenzi zinaweza kufanya kazi iwapo unae mkusudia yuko mbali na wewe mathalani mko mabara tofauti
4.je dawa ya kupata utajiri wa haraka hua ina masharti gani na ni vitendea kazi vp hua vinahitajika.
Nime jaribu kupitia uzi kwa kina ila sija fanikiwa kuona haya maswali hivyo naomba uni funue mkuu
Mtu mzito mbona umeruka maswali haya hasa swali la mwisho
 
mkuu hivi wale binadam wanaotolewa kafara hufa kabisa au kuna sehemu wanahifadhiwa? Mfano matajiri wengi wanaowatoa wafanyakazi wao kafara.
Hizi kafara huenda wapi kuzimu au?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom