Wale wanaotafuta lebo Na kutengeneza lebo tusaidiane hapa

maoni Ngalla

Member
Oct 11, 2016
60
49
Natafuta MTU mwenye uwezo wa kuandaa lebo za kuweka kwenye vikopo vya shampoo,lotion,mafuta ya mgando Nina maana lebo zenye grue anitafute tufanye biashara Na kwa wale wanafahamu zinakopatikana hizi Huduma naomba msaada wako

Na kama anapatikana Iringa ,Mbeya,Na MAKAMBAKO itakuwa njema zaidi
 
Mi npo mz,ntakuandalia cd baada ya kupata ukubwa wa lebo zako na maandishi yake au picha ya nini kiwepo,kisha nakuonyesha sempo na tukikubaliana bei nakupa cd no maelekezo ya utengebezaji,utakuwa unatengeneza mwenyewe ulipo
 
Hio CD itakuwa shilling ngapi
 
Back
Top Bottom