Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,727
Jioni hii nimecheka sana baada ya kukutana na mjasiriamali mmoja anayeuza vidubwasha flani vinavyotengenezwa kwa ngano ambavyo vinaumbo la duara, kilicho nichekesha zaidi ni jina alilovibatiza vidude hivyo maana anaviita VI-BASHITE, sikuwa na mpango wa kuvinunua lakini jina likanivutia nikavinunua vitano, nivitam balaa.
Kesho asubuhi nikikutana naye ntavipiga picha mvione.
Kweli wabongo wako makini kuzitumia fursa.
Kesho asubuhi nikikutana naye ntavipiga picha mvione.
Kweli wabongo wako makini kuzitumia fursa.