ivi kumbe siku izi watu wanapenda wasanii na sio miziki yao. sema hupendi miziki ya dimond sio yeye anaweza akawa na skendo lakini bado mzki wake ukawa ni mzur
kuna wakati inabidi utumie akili kuliko mapenzi (hisia)
toa kauli we ndo mwenye nyumba. hamnaga laana ya kusema ukweli. mkeo aki mind aondoke nao akikaa wiki tu kijijini atarudi mwenyewe. usitishiwe na kauli eti unatufukuza. usiendeshwe na akili ya mwanamke
umenikbusha badoo. hii apps bana watoto wakali balaa ukiomba namba habani .ila kesho yake mzinga unakuusu .mpige ka 30 iv then usuachie gap baada ya siku 2 mkutane unakula mzigo kiulaini. wengine ni wake za watu. wamama mabint. yaani kule ni playstore ya wanawake wazinzi. mimi apo nimepita na...
tatizo sio kukaa nje au bongo bali umeenda uko ukiwa na malengo gani na kama umetimiza unarud.
ukitoka bongo huna elimu, huna views zozote za kibiashara unazoenda kufanya, huna mikakati ya ww kwenda ulaya lazma ukawe kituko ulaya na baada ya kurud.
my take.
nenda nje kwa malengo sio kwenda...
Ulioa sura hukuangalia akili na uekewa wa kuchanganua mambo. mwanamke ni zaid ya mwonekano.
ana tatizo la kisaikolojia mtaftie washaur lkn pia mfungulie biashara akae atulie
Jamaa lazma anakula mzigo. kwann adingekushirikisha toka mwanzo had unagundua mwenyewe.
labda pia ao mapacha sio wako bro. soma alama za nyakati jamaa kasogeza familia yake nyingine karibu nayeye.
ajajua ili upoge watoti wakali na kipqto cha chini lazma uwe mwongo.
hapa chuga kuna fund gerej anagonga wake za watu kwa kuendesha magar ya mabosi baada ya kutengeneza. jioni ananyuka pamba na kutoka nq ma vogy, range, V8 etc ila jamaa geto ana kitanda tu.
ila watoto wanajua meneja flan ivi...
sasa ndugu yangu waache watu wafikiri kutokana na hali ya hewa ilivyo ndo maana mtoa mada kafikiri kiundani.
hii ndo tofaut ya wazungu na mwafrika. wenzetu mtu akifikiri wanachukua maarifa yake uku tunamponda.
sidhani kua kuna mtu anapenda vita. daktar lazma akuulize unasumbuliwa na nn na ni...
mleta mada ni zaid ya mchawi.
atupe majina ta kampuni kwa mifano na waanzilish walivyotelekezwa.
analeta habar za vijiweni apa. leta ushahidi sio porojo.
taja baadh ya makampuni na zulma ilivyoenda hapo nitakubaliana na ww.
where is your references bro. if no references that mean your...
fredwaaa ni bonge ya mtangazaji ever. yeye na milard ayo ndo watangazaji naowakubali.
wajaribu kumpa kipind chake ana kipaj na sauti ya kutangaza sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.