jamaajamii
Member
- Apr 19, 2015
- 70
- 6
Bwana huyo kama hana maradhi basi kapata bwana na bwana huyu hana mke lakini anapesa ya kufa mtu.Halafu ana mdude huo...wa kufa mtu anachoka sana.
miaka saba....
mech 2 kwa mwez
mech 24 kwa mwakw
mechi 168 kwa miaka yote 7
sio mbaya lakin
umenikumbusha bajaji moja iliandikwa "jogoo kichaa, nakimbiza tetea mpaka anajikwaa"Jifanye jogoo tu, kimbiza, kamata, panda...
Duu uko vizuri,ebu tu jaribu hesabu hii
168 Mara 2 kwa mwaka 336
336@kila mechi goli 3
Kwa mwaka goli 1008
Haya 1008 labda kwa miaka 7 jumla utakuwa na goli 7056
Duuu!
Eeh ebu chukua 7056 toa za jamaa yetu anaye nyimwa unyumba 504 * _: 7056-504 = 6552 mmmh ! Mwambieni akatafute mchepuko huyu
a kiss for you, huyu kwanza ni mcheza mpira amekariri mechi ni kufunga goli hajui mashabiki pia wanaenjoy zile mbwembwe chenga anakwenda, anakwenda, kapiga kichwa ............ he is no longer romantic in sex ni forward back forward back kama unatwanga mahindi ya makande ya jioni kwakuchelewa,
saa mbili hyo akija haogi, haswaki unanata mwili kama mzinga wa asali unategemea nini.
mwisho kuna kitu umemkera mkeo saaana na hajakwambia ndicho kinaua nasfsi ya maloveww kwako work on it
Elewa kwamba akufukuzae akuambii toka, chukua tahadhali
halafu ungejua mimi ni bishororo usingesema
miaka saba....
mech 2 kwa mwez
mech 24 kwa mwakw
mechi 168 kwa miaka yote 7
sio mbaya lakin
Jifanye jogoo tu, kimbiza, kamata, panda...
Sa mtu anakijua kabisa kilichomtoa kwao hadi akaenda kuishi hapo afu anajifanya anabana bana, ndo nini sasa....Hahahaaaa! Mwl kwakweli huu ushauri hapana, sasa atafukuza miaka yote?!! Kuna tatizo hapo wakae tu wazungumze mayb mkewe hafurahii tendo na mumewe, lile tendo lilivyo tamu alafu ndoa yenyewe bado mbichi kabisa hiyo eti mtu anapiga moja kwa mwezi!!!
Sa mtu anakijua kabisa kilichomtoa kwao hadi akaenda kuishi hapo afu anajifanya anabana bana, ndo nini sasa....
Kama kachoka kutongoza ndo aapply tu technic ya jogoo ha ha haAlishamzoesha kumtongoza sasa mwanamke kazoea
Kama kachoka kutongoza ndo aapply tu technic ya jogoo ha ha ha
halafu ungejua mimi ni bishororo usingesema