2 Children and she has 31yrs. Tena mtoto mmoja yuko STD 3
kaa nae chini umueleweshe kwa upole kabisa maisha yanvyokwenda. hana kosa kubwa la kufikia kuvunja family. angekuwa wa hovyo angekubwaga wakati huna kazi. inaonekana anakupenda sana.
Acha tu aisee, anatafua sehem anakaa kama ni kikao kikiisha sasa mnarudi hom
Hii chai kama haijakaa vizuri
Hela ya mafuta unapewa wewe yeye ataizuiaje?????
Kuna kitu hakipo sawa
Inafaa na mwenyewe ujichunguze
Upendejwe kunguni weee... Npatie mkeo pls.
Cha msingi jua huyo anataka akabe had penati yaan chake chake. Sasa wee mwambie kazn ni hv na hv, hvo akusindikize asubuhi na kkfata jion. Mda mwingine mpe majukumu ya kumfanya busy. Mpe mtt alee for example
fundichupi. una umli gani? we unanitukana kunguni? huna adabu ww mtoto