KAMA KAWAIDA YENU TANESCO KILA JTATU NA JUMANNE UBUNGO BUSSINESS PARK HAMNA UMEME,MMESHAKATA HILI TATIZO LITAKWISHA LINI?MBONA NYIE NI SIKIO LA KUFA,NAMNA HII KWA ENEO LENYE MATUMIZI MAKUBWA KAMA HILI MNAPOTEZA MAPATO NA MNATUTIA SISI HASARA. SIJUI MTABADILIKA LINI NYIE
TANESCO HUDUMA ZENU BADO SANAA HAPA UBUNGO BUSINESS PARK JUMATATU NA JUMANNE KUNA MGAO USIO RASMI SIKU NZIMA TUNAOMBA TUJULISHWE SHIDA NI NINI MAANA TUNA VIWANDA KUPOTEZA SIKU NZIMA BILA KUZALISHA NI HASARA. NATAFUTA NAMBA YA KALEMANI TANGU LAST WEEK SIJAPATA NIKIPATA NITATAKA KUJUA HAPA KUNA...
TANESCO KUNA SHIDA GANI YA UMEME SIKU YA PILI SASA HATUNA UMEME UBUNGO BUSSINESS PARK NA NI ENEO LA VIWANDA NCHI YA VIWANDA ITAFIKA KWELI NAMNA HII????????HALAFU MUWE MNATANGAZA BASI TUJUE KWAMBA KWA SIKU KADHAA HAKUTAKUWA NA UMEME
Bank zinatoa mkopo mkuu ila uwe umeshafanya nao walau miezi sita na oda yako iwe ya kiwanda kinachokubali kusaini makubaliano na bank ya kupitishia hela kwao,so nenda CRDB NMB wanazo huduma hizo.
DAWASA TUNAOMBA KUFAHAMISHWA KIMARA BONYOKWA TUMERUDI KWENYE MGAO WA MAJI ?MAANA MLIJIGAMBA HAKUNA TENA SHIDA YA MAJI KIMARA TUMEKUWA NA KUKATIKA KATIKA KWA MAJI WIKI YA TATU SASA NA HIVI NINAVYOANDIKA TANGU JUMAMOSI HATUNA MAJI SASA SIJUI KUNA SHIDA GANI NA HATUTANGAZIWI, MUWE MNATOA TAARIFA...
Nina mambo mawili
1. Kimara mwisho njia hii ya kwenda bonyokwa kila siku umeme unakatika na sio unakatika kwa muda mfupi no. Unakatika muda mrefu bila matangazo bila samahani bila chochote tunaomba kujua hili tatizo litakwisha linii????Maana imekuwa ni kawaida sio siku moja mbili wala tatu ni...
Packline company limited is a new established company mainly dealing with manufacturing of paper, non woven bags and other packaging materials looking to recruit few staff to fill the following vacant positions.
If you fill that you are willing and able to join our team please do not hesitate to...
Hapo ndipo wadada mnapokosea umri ukisogea tu unaamua kiwa cheap hata kama ulijitunza kwa muda wote,umri wako ukusaidie kuamua kwa busara una uhakika gani kama hao aliozaa nao hakutumia mbinu hiyohiyo?mahari sio ndoa wala kutoa mahari hakuhalilishi kuwa mke,dini zote zina taratibu zake za ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.