Recent content by manyusa

  1. M

    Mafriji-tufanyeje yadumu

    Mimi yangu Nia miaka mitano hatumiki kutokana na changamoto ya umeme ndo nataka kununua generator je utafanya kazi?
  2. M

    Ni lazima umfikishe?

    Kalia ngono utakuwa masikini anayekwambia mwanamke anaridhika nani? Jidanganye kwa kuwa wako hujambamba.
  3. M

    Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

    Anayejua Bei na aina nzuri ya bajaji atwambie.
  4. M

    Bajaji za abiria

    Naomba kufahamu aina nzuri ya bajaji za abiria na gharama zake
  5. M

    Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

    Hivi thiologia ulisomea wapi?au ndo wale kasoma udaktari alafu kazi mhasibu?Kila mtu ana sehemu amebobea kuliko mwingine tuache unafiki!!!!![emoji41][emoji41][emoji41]
  6. M

    Nataka kununua kiwanja Zanzibar. Taratibu zipoje?

    Sio rahisi Zanzibar wabinafsi sana lakini pia wanadai wanalinda utambulisho wao kwani wanahofu bara wakinunua kule watajenga na kuzaliana sana na kuwafunika wao.
  7. M

    Bukoba: Mji wenye historia lakini kimaendeleo umepitwa na miji mingi sana nchini. Tatizo nini?

    Kwa lipi Mimi ninaijua Moshi vizuri nimeishi zaidi ya miaka mitano na bukoba wilaya zote nimepita sasa bukoba unailinganisha na hai kivipi ?Kwanza bukoba wamejenga vizuri zaidi vijijini kuliko moshi.danganya wengine.
  8. M

    Kwanini watanzania hatupendi kutaja umri?

    Wewe una umri gani? Weka na cheti kabisa kudhibitisha.tuanzie hapo.
  9. M

    Bei ya hiace

    Mwenye kujuwa Bei ya hiace mpya kutoka Japan hapa Tanzania mwanza ni Bei gani?
  10. M

    Je, hii dhana ya “Usawa wa Kijinsia” tumeielewa kweli?

    Bila kubadilisha sheria tulizo nazo hakutakuwa na hicho wanachoita haki sawa.mfano mtoto anatakiwa kupata matunzo na ada zote kutoka kwa baba je mama usawa wake huko wapi?
  11. M

    Fahamu chimbuko na asili ya wakazi katika visiwa vya Ukerewe

    Ukweli ndo huo hasa mabinti waliobeba mimba nyumbani kabla ya kuolewa na vijana waliokamatwa ugoni.
Back
Top Bottom