Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

Sio kila jambo unaweza kulielewa at per.
Mtu mzima ukiona unaelekezwa na wengi jitathmini;
Narudia tena hakuna TVS mpya ya hiyo bei iwe dodoma au dar haipo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia tena wewe ni zuzu na utapigwa sana.
Nazungumza kama mmiliki wa Bajaj mbili moja iko mkoa wa Singida nyingine hapa Dodoma na nilizinunua mpya kabisa.
.
Sasa uzuzu wako peleka hukoo kwa mazuzu wenzio
 
Wacha vitisho weye!
Wadhani tuonaongea vitu out of blue..
Bajaji hata mi ninayo ndugu! TVS hiyo hiyo
Narudia tena wewe ni zuzu na utapigwa sana.
Nazungumza kama mmiliki wa Bajaj mbili moja iko mkoa wa Singida nyingine hapa Dodoma na nilizinunua mpya kabisa.
.
Sasa uzuzu wako peleka hukoo kwa mazuzu wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi, Bajaji inakaa kwa muda gani? Unaweza endesha kwa miaka ngapi kabla ijafa? Mitatu, miwili?
 
Gharama inategemea mahali ulipo.Mimi nakupa mchanganuo kulingana na gharama za hapa ninapoishi.Bajaj mpya sh 7200000,service (Kupaka vikombe Greece) 40000, kununua na kufunga pazia 60000,kutengeneza mlango wa mbao 20000,kulipa bima 141600,kulipa sumatra 32000,TRA awamu ya kwanza 30000.Mafuta ya kuanzia 20000.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii upo wap mkuu? Bei hii ni mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna aina nyingi sana za bajaj kwa haraka haraka kuna TV KING+(deluxe),PIAGGIO, RE Na mengine mengi.

Kama sio mzoefu wa bajaji na hutaki stress chukua TVS KING kwani upatikanaji wa vifaa vyake ni rahisi na hata mafundi wengi wanaweza kuirekebisha. Bei yake ni kama ml 7.2 mpaka 7.5 piaggio na re ni kama ml 6+
 
Back
Top Bottom