Recent content by Manyovumpya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Alexander Mnyeti Maji ya Shingo, miradi yake yaanza kufa mmoja baada ya mwingine

    Hasa kama utajiri wenyewe kaupata kwa kuiba pesq za wananchi maskini lazima tufurahie tena sio kufillisika tu bali afe kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Wanawake sijui huwa wanatakaga nini

    Hahahahaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Wanawake sijui huwa wanatakaga nini

    Huyo mbona alishaingia kwenye 18 zako hapo ulikua unasubiru aunawe tu iwe penalt hahaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Wanawake sijui huwa wanatakaga nini

    Hahahaaa ww sio mkali wa hizi kazi..kwanza siku hizi mtu analiwa hata. Bila kuombwa..yan walali wa hizi kazi huyu anajikuta kaliwa halafu akijiulizq alitongozwa lini hakuna..hahahaaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Ujue dunia ishakua ngumu sana na umaskini ndio chanzo maana mtu unaweza kua creative lakini starting point ndio shida mfano mtaji
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Yaani namaanisha connection zipo na sio kwamba woote wanapata kwa connection hapana iwapo wanaopita kihalali kabisa na wapo pia wakali wa hizi kazi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Hahahaa..huko mpaka uwe na mbuyu ndio wanaitana yani asali inalambwa na wenye ulimi mrefu, yan wanaopata kule bila connection ni wachache sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Yani michongo haitaisha labda mashine ndio iwe inaajiri labda ndio itatenda haki
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama ya kukodi boti kwa ajili ya birthday party hapo mjini Darisalama

    Hahahaaa na mm nakuunga mkono mdau kula maisha..watu walisema dunia mapito au dunia njia tunapita tu sasa kama dunia njia kwann ujenge nyumba njiani...ww kula maishaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Connection zipo sanaa usitake tutaje watu humu ndani mkaanza kutusaka wapo watu wamepata kazi kwakua baba zao au ndugu zao ni wakubwa huko, yuko mtoto flan baba ake ni mkaguzi flan wa mahesabu wizara flan mwanae alipata kazi T.r.a wakati huo walitaka watu wa degree yeye alikua ndio kwanza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

    Nakushauri acha kutembea na vilainishi vya aina yyte kama ni kwenye gari au mfukoni maana nahisi vinaweza tumika kwa ajili yako muda wwte kuanzia sasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    CAG na PCCB hebu tieni mguu Temesa kukagua mikataba dhidi yake na Sighman Safari Haulage juu ya ukodishaji majengo VS sheria ya manunuzi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuchamba kwa maji ni uchafu uliopitiliza na hatari kwa afya

    Acha kula ili usiwe unaenda chooni kabisa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

    Tuache banaaa
Back
Top Bottom