Recent content by manyota 5

  1. M

    JamiiForums Tanzania Eti nguo ya ndani nayo ina nje na ndani

    Mleta mada wakusudia nguo ama ndani!? hebu funguka zaidi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Leo msela mimi nimepika Wali Nazi na Mboga Nazi

    Siku nyingine chukua Mchele usiyo hitaji kuoshwa,ukiosha Kuna vitu flani una vikosa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

    Bawasiri ni maradhi mabaya mno ya kutoka nyama njia ya haja kubwa,wakati mwingine huandamana na upele pembeni yake.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

    Hadith ya mtume صلى الله عليه وسلم ni sahihi,na ndio ilivyo,japo mtoa mada ameona ina maslahi upande wake..!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Uislamu unakataza ushoga na kutoa adhabu kali,mbona alitokea mwanamke mmoja aliswalisha mpaka wanaume je ndio uislamu unavyo elekeza hivyo?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    Eti usinipangie! Tena huyo amechelewa kuacha,ilikuwa akutumie talaka yako huko huko.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kupima DNA

    Kama mlikua kwenye ndoa na mama mtoto si sogea tuishi haina haja ya kupima kisheria ni mtoto wako labda wewe mwenyewe umkane (umkatae) Lkn kama c wandoa nakushauri endelea kumhudumia hiyo ni ihsaani Mola atakubaariki sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kupima DNA

    Kama mlikua kwenye ndoa na mama mtoto si sogea tuishi haina haja ya kupima kisheria ni mtoto wako labda wewe mwenyewe umkane (umkatae) Lkn kama c wandoa nakushauri endelea kumhudumia hiyo ni ihsaani Mola ata kubaaroki sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023

    Eeh bhanaee,Kuna stori moja nomesahau heading yake lakin-mpelelezi m1 amekutana na misukosuko alienda nchi jirani kwa uwokozi mara wenzake kuuwawa,daah tafadhali anaye kumbuka....!
Back
Top Bottom