Recent content by MANYORI Jr

  1. MANYORI Jr

    Vifurushi vya mitandao kuisha mudana kukosekana bei moja kwa huduma moja kwa wateja wote ni unyang'anyi unaolindwa

    Shalom wanajukwaa! Sisi wananchi wanyonge tumewekewa ukomo wa muda wa vifurushi vya mitandao ya simu- kiwe kimetumika au hakijatumika, kinakwisha na hakuna refund! Mitandao ya simu hapa nchini inaendesha biashara ya unyang'anyi hasa pale kifurushi kimoja chenye ufanano wa kila kitu(dakika, sms...
  2. MANYORI Jr

    Kuna Mbunge nimemsikia mjengoni akiomba Serikali iajiri wanaojitolea. Hii haikubaliki

    Kujitolea ni dhana pana.Ninaimani maana yake itajumuisha watu wote walio kwenye hali ya kujitolea bila kujali ni private au public kulingana na maslahi wanayoyapata watu pale walipo.Open Schools ni moja kati ya taasisi zinazojitolea moja kwa moja kwa kuisaidia serikali kuwarudisha kundini kondoo...
  3. MANYORI Jr

    Nilichoshudia leo kwa wanawake wanaojiuza

    Umetisha sana mjuba.
  4. MANYORI Jr

    Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Ninaamini umeyaandika haya kwa uzoefu wako binafsi juu ya mvua za tanzania. Ninaomba ujifunze jambo moja;,Mabadiliko ya tabianchi hupelekea pia kubadilika kwa vipindi na majira. Kamwe,Mwenyezi Mungu hataiangamiza nchi yetu kwa ukame kama mnavyoombe! Never!
  5. MANYORI Jr

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Mbona hadi leo vinapatikana! Vimebadilishwa rangi na kuwa ya khaki.Ninakumbuka 2009 nililazimika kuwa nacho pahala kwa usalama wangu.
  6. MANYORI Jr

    Elimu ya kidato cha sita PCM ufaulu daraja la pili kweli sipati ajira? Dodoma

    Yaani form six unatamba? Hiyo siyo elimu.Elimu ni maisha,Kama unayo,yafanye. Utazeeka bila kuona kilichokuzeesha.Rudi kalime.Huu ndiyo ukweri wa kweri.
  7. MANYORI Jr

    Waziri Majaliwa: Serikali kuwaajiri walimu wapya huku kipaumbele kikiwa ni walimu wa Sayansi.

    Huyo ndugu ana akili za kizee sana.Inabidi tu apumuzike kama wengine.
  8. MANYORI Jr

    Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

    Ninawiwa kusaidia.Ninafanya jambo ,Mola anipe kibali nifanye ninachokusudia kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye.Allah unijaaliye.
  9. MANYORI Jr

    Wazir Ummy Mwalimu analeta siasa kwenye elimu; ni sampuli ya viongozi ambao hawana uchungu na elimu ya watoto wa maskini

    Acha porojo kijana.Kati ya mawaziri bora kabisa wa awamu ya sita ni Waziri Ummy Mwalimu.Tena aweza kuwa kinara wa ubora.Nina maono kuwa huenda akawa kiongozi wa ngazi za juu katika nyakati zijazo. Bila Ummy,walimu masomo ya Sanaa ajira wangezisikia mitandaoni. Walimu wapya masomo ya sayansi...
  10. MANYORI Jr

    Mjue Mungu "Amen" wa Misri. Ambae leo tunamsujudia Bila Kujua

    Siyo kweli ndugu.Neno "Amen'' lina asili ya kiebrania;Maana yake ya msingi ni " Naiwe''/So be it(kwa kimombo). Usilete mzaha na Lugha za asili.Lugha ya asili huwa imebeba muujiza wa utendaji.Leo hii watu hawafanikiwi hata manuizi yao kwa kuwa wananuiza kwa Lugha zisizo za asili(ya kule watokako...
  11. MANYORI Jr

    Operesheni Haki: Freeman Mbowe awasili Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba

    We jamaa vipi We jamaa vipi? Watu hawafuatilii, wewe ni mbwa!? Wewe ni mmoja kati ya wale wanaofuatilia.
Back
Top Bottom