Ugm bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,152
- 5,663
sio huyo tu, karbia 98% ya majina ya Mungu ktk biblia yamepotosha ukwel kwa kufuta jina la kwel la Mungu na kupachika majina ya mashetani,,,hakuna histori ya kiumbe aliewahi kuwepo na akaitwa yesu(jesus,yeshua) wala Mungu hana majina mengi kama yale wanayomuita makanisan et yave,yehova,elishadai,elohim, haya yote ni majina ya mashetan ambayo wale walioandika biblia ama walio edit maaandiko original matakatfu wakafuta Jina hakisi La Mungu, Mungu wa kwel ana jina Moja tu, hayo mengine ni mashetan na mapepo, kizaz hiki hasa wakristo, mmedanganywa na mnaabudu vtu msivyo vijua, na tukiwaambia ukwel mnatukana, mm n mkristo niliyepitia maumvi ya kuabud upuuz kwa muda mrefu, lkn baada ya kupata maarifa mapya, nkaujua ukwel now nshaachana na dini maana zote zimepotosha ukwel, Katka sala za maombi kuna upotoshaji mwingi sana, nina ushahidi, mtu leo unapomuombea mwenye mapepo ama shida kwa kumtaja huyo kiumbe elishadai ama jesus, ama elohomu, jua kuwa unamuita pepo mwenye nguvu kwa iman yako ambapo huyo pepo akishafika atafanya vile unataka, hata kufukuza vijipepo vidogo ama kufanya uponyaji, haya yote yanafanyika kuwa hadaa ili msjue ukwel,..mambo ya iman tumedanganywaa sana yaan kama ikitokea waafrika wote tukaujua ukwel kama nnaoujua mm nasema kwanzia leo hakuna atakae kanyaga kanisa wala msikiti, eeh hakunaa, maana ukwel unajulkana kwa asilimia chacheee mnoo, na uongo unajulkana kwa 100% hatar sana , ukiwafuatilia viongoz wa dini wawe mashehe ama wachungaj, ukiwaona wanavyofundisha daaa adi uruma yaan anaongea kitu ambcho yeye mwenyew hana uwakika nacho, kwakua kakalili uongo bas nae anaueneza uo uongo, ukiwaona hawa watu unaishia kusikitika tu, maana hata uwaambie ukwel, watakupinga,,hasa watz n wavvu wa kusoma mambo ya maana, ndy maana uongo bado unatawala, kama wengi tungeachana na ushabiki wa kijinga na kuruhusu maarifa yafwate mkondo wake, basi mambo ya dini tungeachana nayo,,Mungu yupo ila sio hayo majini na mashetan na akina Allah,elohimu,elshadai,jehova,jesus,yesu hawa wote ni mapepo ambayo yaliabudiwa na wamisri then utaratbu ukaamia kwa wagiriki, then warumi na waarabu ambao hawa ndyo wamekuja kuarbu kila kitu kwa kuudanganya umma kumuhusu Mungu wa kwel, hawa hawakutaka tunuabudu shetan direct, bal waltumia njia za maficho kwa kuficha majina ya mashetan na kuyaita Miungu,.uwaga nawapa nafas hao wanaojiita walokole ajitokeze mmoja aje apingane na mm kwa points bila ubish wakijinga na mapenz ya dini, anaeona iman yake ipo thabit ajitokeze abishane na mm kwa hoja tuuu na sio vitisho vyakijinga vile vya oooh neno la Mungu haliojiwi, upuuzi huu......Shetan anatawala dunia, na kama anatawala dunia tegemea kuwa kila nyanja ya itikad za imani na maisha lazma azigusee tena kazigusa kwelkweli kias ambacho kwa wale vichwa panz lazma wapinge tuu,..