Recent content by Manyonyo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu COASCO.... taarifa zake please.

    Ni kama Auditing firm ila inajishughulisha na vyama vya ushirika tu especially SACCOS
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uozo ndani ya Jeshi la Polisi... Ushahidi huu hapa

    Ukweli unajidhihirisha,mwisho wa siku kila kitu kitakua open.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kweli Lema ni kiboko

    We magamba kaa pembeni acha wenye akili timamu wachangie
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nnauye: Mbowe wataje watakaohamia chadema; Lema awasilisha rufaa ya kurasa 985

    Kila la kheri godbless lema.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kitine: Kuna waziri ameiba fedha za nchi huko nje ametia mfukoni mwake kutafutia urais

    Watu wa Mtwara hilo lipo wazi kabisa,hiyo ni ya gorofa na ipo pembezoni mwa bahari kule Makonde
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

    Hayo tushachoka kuyasikia,sasa tunataka atende bila maneno.Anatapatapa ili kujiosha kwa jamii
  7. M

    JamiiForums Tanzania David Silinde ashinda kesi yake ya kupinga ushindi wake dhidi ya DR lucas Siame

    We umelogwa na aliyekuloga kashakufa au otherwise umekula kuku wa dawa.Huku umefuata nn?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Pmj mkuu,tupe mataarifa hayo,magamba watajuuuuuuuuta
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    Haina ubishi kwa kamanda Lema.Hakika watajilaumu kwa ujinga wao.CCM byeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ezekekiel Maige: Tumtendee haki, wizara anayosimamia ni kubwa sana

    <br> <br> Jitendee haki ww kwanza kwa haya yanayotokea Tanzania.Kama wamewekana kishkaji sasa haya ndio mavuno.<br><br>Maige hana majibu katika hili.Lazima awajibike na pia alishiriki kwenye dili.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wenye busara CCM fanyeni mahesabu Nape soma hii

    Tumekusoma mzee,asiyeelewa hapa ana yake. Nape asome hayo na ayafanyie kazi haraka.
Back
Top Bottom