Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

Mziki wa Lema naukubali kwani toka ameanza honey moon (kauli ya Lema) amesababisha wanandoa kutalikiana (CCM vs WANACHAMA wake) Kaza boot Lema tuko nyuma yako usiwape pumzi.
 
mfa maji huyo lazima atapetape!...mpeni mshahara kama mnavyompa Silaa jamani atachanganyikiwa zaidi huyo mangi msaidieni!

kwa taarifa yako kabla haja pewa likizo alilamba mkopo sh.ml 230 hili alitwambia wakazi wa GEITA wasalimie magamba!
 
Iliyobaki ni kuhudhuria misiba tu kila leo nothing more. ha ha ha ha du CCM imekosa uongozi bora ndo maana inaporomoka kwa kasi ya ajabu. We toka lini Wazaramo wakaongoza nchi? wao wenyewe wameshindwa kujiongoza
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Wakoloni waliwaambia wakina Julius maneno kama haya, lakini mwisho waliondoka
 
wanaosema 2015 CDM ITABISHA HODI IKULU naomba WAFUTE KAULI YAO...kauli nzur ni CDM ITAINGIA IKULU...kubisha hodi inamaanisha kunamtu ndan ambaye mtasubir uamuz wake wa kufungua ama la. CDM inafungua na kuingia yenyewe
 
mfa maji huyo lazima atapetape!...mpeni mshahara kama mnavyompa Silaa jamani atachanganyikiwa zaidi huyo mangi msaidieni!

Kama ujuavyn waweza kuwa kenge usijitambue ukifikiri wewe ni mamba, moto ulio waka tanzania hakuna wa kuuzima, na ni kuhakikishie wewe k*** hakuna mwana magamba kuanzia miaka 18 kushuka chini na hao hawahitaji kuhamasishwa bali hali halisi imewahamasisha, sasa fanya tathmini wenye 18 kwenda juu waliwafanya nini 2010 pamoja na hila zenu zote.
 
GreatThinkers,
Maneno haya wala si ya Spencer,yamesemwa na Kamanda Lema akiwa Rocky City.
Nusu ya watumishi wao nje ya bunge lazima awakwapue,na hiyo ndiyo kazi anayofanya nchi nzima.
Vuteni subira wiki hii mtashangaa Lema ni shujaa na ni mtoto wa mjini.
Anasema CCM kwishney, kilichobaki proper coordination either kuwachoma moto au kuwazika wakiwa hai. Lengo kuwatokomeza.
Tegeni maskio ndani ya hii wiki hakika Lema nimemvulia kofia.

Peoplessssssssssssssssss[/QUOTE Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrr]
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Umechizika CHALII. Nchi hii ni pipozz pawaaaaaa tu.
 
GreatThinkers,
Maneno haya wala si ya Spencer,yamesemwa na Kamanda Lema akiwa Rocky City.
Nusu ya watumishi wao nje ya bunge lazima awakwapue,na hiyo ndiyo kazi anayofanya nchi nzima.
Vuteni subira wiki hii mtashangaa Lema ni shujaa na ni mtoto wa mjini.
Anasema CCM kwishney, kilichobaki proper coordination either kuwachoma moto au kuwazika wakiwa hai. Lengo kuwatokomeza.
Tegeni maskio ndani ya hii wiki hakika Lema nimemvulia kofia.

Peoplessssssssssssssssss

pawaaaaaaahhh!!!
 
Haina ubishi kwa kamanda Lema.Hakika watajilaumu kwa ujinga wao.CCM byeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
GreatThinkers,
Maneno haya wala si ya Spencer,yamesemwa na Kamanda Lema akiwa Rocky City.
Nusu ya watumishi wao nje ya bunge lazima awakwapue,na hiyo ndiyo kazi anayofanya nchi nzima.
Vuteni subira wiki hii mtashangaa Lema ni shujaa na ni mtoto wa mjini.
Anasema CCM kwishney, kilichobaki proper coordination either kuwachoma moto au kuwazika wakiwa hai. Lengo kuwatokomeza.
Tegeni maskio ndani ya hii wiki hakika Lema nimemvulia kofia.

Peoplessssssssssssssssss

Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Naomba niwakukumbushe ndugu zangu wtz mahala popote Duniani kwenye dhuluma mapinduzi yanaanzia pembezoni mwa nchi wanamalizia makao makuu ya nchi yaani unaingia Ikulu ndugu zetu walio nje ya mkoa wa D,salaam nadhani ndio watakao tusaidia watanzania kuikomboa nchi hii katika makucha ya walaji ambao hawana hata huruma wala woga.watu wa mkoa wa D,salaam walio wengi wao wanaona maisha ni ya kawida tu Mmeshuhudia na kusikia wenyewe jana Waziri mwenye dhamana mtoto wa mkulima Mizengo wa Kupinda baada ya kuwaeleza wtz maneno ya maana yanayogusa maisha yao ya kila siku anatoa maelezo ya timu ya Simba kufanya vizuri hayo nadhani angelimwachia Ismael Aden Rage ndiyo kazi yake. watanzania tumejionea wenyewe aina ya viongozi wetu tulio nao Rais wa Nchi yeye yupo msibani akiacha familia yake nyumbani haina uhakika wa maisha yao ya kila siku. Mujwahuzia.
 
GreatThinkers,
Maneno haya wala si ya Spencer,yamesemwa na Kamanda Lema akiwa Rocky City.
Nusu ya watumishi wao nje ya bunge lazima awakwapue,na hiyo ndiyo kazi anayofanya nchi nzima.
Vuteni subira wiki hii mtashangaa Lema ni shujaa na ni mtoto wa mjini.
Anasema CCM kwishney, kilichobaki proper coordination either kuwachoma moto au kuwazika wakiwa hai. Lengo kuwatokomeza.
Tegeni maskio ndani ya hii wiki hakika Lema nimemvulia kofia.

Peoplessssssssssssssssss

Teh teh te teh
 
Ole wake anayemsema Lema vibaya, asije akamuomba Mungu wake wote mnaomsema vibaya mkapata wazimu
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

inawezekana Lema ni kilaza kielimu lakini kwa hakika wewe ni KILAZA wa FIKRA, pia nina wasiwasi na utimamu wa akili yako kwani ungekuwa mzima usingezubuthu kutoa kauli ya namna hiyo. bila shaka wewe ni wa Magamba wanaotafuna trilioni 13 kwa wizara mbili, zaidi ya bajeti ya nchi then mnashangilia upuuzi. nani KAWALOGA??????????
 
Back
Top Bottom