Uozo ndani ya Jeshi la Polisi... Ushahidi huu hapa

Haya mambo ni ya kawaida sana kwa vyombo vya usalama na ndio maana hawajitikisi kuulizia nyongeza ya malupulupu yao. wanajilipa wenyewe. Lakini dawa ya mambo haya yote muda si mrefu itaingia sokoni na watu wataitumia maana iko tayari
 
Jeshi la Polisi limechafuka kwakipindi kirefu sana sasa. Kuanzia kipindi cha Mahita. Badala ya kulisafisha wao wanahamishwa vituo tu. Kumbuka kamanda Chico wa mkoa wa Kilimanjaro alivyokuwa anashirikiana na majambazi kuiba magari, sijui kama yale mabasi yake ya Chico bado yapo au wamebadilisha majina. Baada ya scandle alihamishiwa DSM, nafikiri kwa sasa yuko usalama wa taifa. Huyu Msangi katika hiyo barua amejibu kwa kebehi; inaonyesha kuna wakubwa wanamlinda ndio maana ana kiburi. Inawezekana hizo mali za wizi wanakula na wakubwa zao. Simuamini kabisa Mwema na wenzi. Infact jeshi zima la polisi limeoza- hamna wakumuamini tena. Ingawaje wanalipwa mshahara/wana maslahi duni ya kazi; lakini wana-benefit kwenye huu uharamia wanaoufanya ndio maana hawaoni sababu yakudai mishahara/mazingira mazuri ya kazi. Kuishi kwao nyumba duni ni kiini macho tu, hawa watu (hasa wakubwa wao) wana-illegal sources za income nyingi tu.

Duh, rafiki wa majambazi amehamishiwa usalama wa Taifa? Kweli hii nchi hakuna kitu kabisa. Na ukishaona hivyo ujue hadi Rais ni mmoja kati ya hao majambazi.
 
Unashangaa nini na list ya wauza madawa ipo ikulu na hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa
That is how far I understand, kwamba Ikulu ni genge moja na majambazi na wauza unga. Wala hakuna cha ajabu hapa. Ila sema ninajiuliza kama huyo aliyeandika hiyo barua ni askari or mtu wa kawaida, maana hofu yangu ni kwamba atauawa.
 
CHIKO alistaafu akapelekwa police MESS ili aendeleze ulaji.Kwa hiyo ni canteem manager wa polisi,can you imagine?
 
Alex, Moses and Patrick ..wale wale.
Yani hata angekuwa ni kiongozi wa kanisa langu siwezi kumnyamazia na kumchekea kwa madudu haya,
MS mahaba hayanitoi kwenye msimamo dhidi ya udhalimu.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jaman naomba mniambie kwa ufupi,,,barua inahusu nini,,,mimi natumia NOKIA 3310 SO SIONI CHOCHOTE,,,,,NIAMBIENI NICHANGIE
 
Sisi wakazi tunao zunguka msitu wa MabwePande tuna Ujumbe Mzito sana kwenu UWT na Polisi.



The days of using MabwePande game reserve as your Free zone of Touchier, Mutilate and kill innocent Tanzania who oppose the CCM injustice rule are over.

IMEZUIWA JUU NA CHINI
From now onward we lay down a strictly Civilian Law;
It is against the law at any Time for a motorised Vehicle to enter inside MabwePande forest . MabwePande forest is only accesible through walking. Any body, irrespective of his position in the society,who breaks this law will severely face the Mob Justice immediately.


Boundires Coordinates By Google Map;
[[[[[[[[[[[[South TIP -6.737236,39.076796 Noth Tip-6.678674,39.073892 East Tip -6.704333,39.097395 West Tip -6.686602,39.066324 ]]]]]]]]]]]]


IMEZUIWA JUU NA CHINI
 
Jaman naomba mniambie kwa ufupi,,,barua inahusu nini,,,mimi natumia NOKIA 3310 SO SIONI CHOCHOTE,,,,,NIAMBIENI NICHANGIE

Barua inaelezea historia ya uhalifu wa Kamanda Msangi kuwa hushirikiana na wahalifu waliokubuhu. Mfano mmoja akiwa Morogoro alikuwa na kikosi chake cha kuiba bidhaa kwenye malori ya mizigo. Kikosi hicho kilijulikana kama "SHUSHA SHUSHA" na aliripotiwa kwa Uongozi wa Jeshi la Polisi lakini cha ajabu hakuna hatua za kinidhamu juu yake zilizochukuliwa ila alipandishwa cheo kwa kuhamishiwa DSM. More Info: Baba na mama yake walikuwa nao Mapolisi, na Kamanda Chagonja wanatoka wote Usangi. Endelee .........
 
Asante sana uhuru1 kwa kutufunulia hayo. Twasubiri kusikia watakavyokanusha kwa nguvu zote na ujichunge tu wasije wakaku-Ulimboka. Hongera sana kwa ujasiri kamanda..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom