Recent content by manyaraone

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Katika mji mdogo wa Kibaya wilaya ya Kiteto Chadema wanashangilia vitongoji 3 hadi sasa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kila mahali foleni Nchi hii kupata huduma

    Niko hapa ofisi za NSSF Kinondoni region yaani foleni toka ghorofa ya pili hadi ya kwanza!ili uweze kupata huduma.hebu badilisheni huu utaratibu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Hivi kumbe bunge linaweza kubebembeleza waziri ajiuzulu?kwa kweli bunge letu lime kosa uzalendo hasa wale wengi wa cc..mbona huko nyuma mawaziri waliwajibishwa na bunge hilihil au ni kwa sababu ya huu usambazaji wa umeme vijijini ndio maana hawataki kumuwajibisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya kumi zinazofanya ushindwe kuwa na akiba "savings"

    Yote uliyosema yana ukweli na kwakweli umenipa mwanga!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Mbowe anasema kwa mujibu wa taarifa za tume ya uchaguzi taasisi mbalimbali ikiwemo TUCTA walidai serikali tatu ila wajumbe wanabishana ambao ni viongozi wa TUCTA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

    R.I.P Mzee Gurumo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Una enjoy kwa mwanaume yupi hapa

    Umeona excel!bora wasiochagua
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

    Mtoto wa kwako!wa mwezio mkubwa mwenzio
  9. M

    JamiiForums Tanzania Haijalishi nina umri gani, Bado napenda sana kuangalia katuni!

    Vipi kuhusu spong bob square pants na nicky mouse!mtoto wangu anazipenda sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Tundu Lissu Hongera Ismail Jussa;

    Kweli lissu ni jembe!ni mtetea haki za wanyonge. Big up na usikubali kukumbatia hizo takataka zinazoletwa huko mjengoni zisizo na maslahi kwa watanzania
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Pole sana!Mungu atakupa mwingine atakayekupenda hivyo hivyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    She told me this ''I love u more than I love my self'' cha ajabu one day we had a fight then she told me '' yaani Leo mwanaume nitakayekutana nae nikampenda naenda kumpa''
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya msichana na mwanamke

    Mwanamke ni binadamu mwenye jinsi(sex) ya kike na msichana ni mtoto wa kike ambaye bado hajazaa na kwa mazoea yetu ni Kati ya miaka 12-18
Back
Top Bottom