Ongera Tundu Lissu Ongera Ismail Jussa;
Kwa kazi ya leo hakika mnastahili pongezi ;
Sitta pole sana huyo ndio Lissu,,Jussa.
Kwa somo la leo basi jipime tena kama unastahili kuitwa wa mzee wa viwango?
Kwa wingi wenu mjengo msifikiri mnawatisha hawa Tundu Lissu na Ismail Jussa;
Eti nyie ccm ni vigogo basi hawa ni Visiki "Jussa Kisiki na Kisiki Lissu"