Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

Sitasahau pale nilipoambiwa... 'kuanzia leo iwe mwisho wako wa kunipa pesa, sitaki pesa zako' 'but i love you soo much mpaka joto liishe dar es salaam!

Halafu akaongezea... ' you are more than oxygen to me'!... Eenh!

Sasa maneno kama haya niyasahau ili iweje!

Mkuu hata namie sitosahau lool
 
Ulivyo mtamu sitakaa nikuache bebi..
Na ukiniacha najiua ..l' never leave you bebi eangu HATA IWEJE!♥♥
Doohhh..
Cha ajabu narudi masomoni kammimba shosti af bebi sorry we ndo mke mie dooh af uliemzalisha amuoe babako kwendraa kafie mbali uko!!!
 
Lols. At least mine told me the truth.
 
Pamoja na yote uliyonifanyia,kumbuka nakupenda na cku zote nitakuthamini.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
"siwezi gombana na wazazi wangu kwa ajiri yako,kama mapenzi yaishie hapo,natumaini nimetumia kiswahili kinachoeleweka
wako......"
hiyo ilikuwa aya ya mwisho ya barua yake tukiwa form 4
but she iz my wife now and tunamtotom1 ile barua cjaichana nimeiweka hadi kesho
 
Back
Top Bottom