Recent content by manyani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Guess where...

    Majengo ya muhimbili national hospital ward MWAISELA.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lady JayDee na jini mahaba!

    pole zake!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukimwi unaniuwa kwa haraka jamani

    Muhimbili kuna kitengo maalum cha kupima ukimwai kiko karibu na wodi ya magojwa ya akili ni gorofa la rangi ya cream na wana kipimo cha elisa na utapata ushauri kutoka kwa wataalamu jinsi ya kujizuia usipate maabukizi.nakutakia kila la kheri.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwahili Wakuu

    chukuwa tulatula (ndulele) nne zikatekete weka mafuta ya taa vijiko viwili na kamulia limao au ndimu chemsha na maji glass mbili kisha awe anasukutua asubuhi na jioni itamsaidia sana ni kweli na hakika.harufu itaisha kabisa.kila la kher.i
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    Chadema hoyeeeeeeeeeee!safi sana mie roho yangu saaaafi.!
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    Chadema hoyeeeeeeeeeee!safi sna mie rohao yangu saaaafi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya umri kuwa tatizo katika ndoa ni potofu

    kaka chagua moyo wko unahitaji nini age is just a number.kila la kheri katika maamuzi yako.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    :israel::israel::help:
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, Mwinyi, Mkapa na Mbowe, Lowasa wahudhuria mazishi ya Askofu Amedeus Msarikie

    RIP askofu Msarikie.mwanga wa milele umuangazie ee bwana.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu afundisha shule nzima

    kazo ipo Tanzania yetu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tray 25 za mayai zimemfikisha hapa mtoto huyu!!!

    Ee mungu mponye ntoto huyu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Freemansons..............!!!!! !!!!!!!

    maisha ni safari ndefu ukizaliwa lazima kuna milima na mabonde mwambie kijana akaze buti ili kufanikwa na sio kutaka kiurahisi.kwani waliofanikiwa hawajaanzia walipo wametoka mbali.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mitego ya dunia hii siiwez!!

    pole sana rafiki sala ndo njia pekee.ila tafuta mingine fasta.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

    Mh! mwanamme hapaswi kunukia bwanaaaa!, anukie ili iweje???
Back
Top Bottom