kaa ukijua usaliti upo tu kwa kila mtu aliye chini ya jua...yaan kama huamin embu anza kuwachunguza watu ambao ww unadhan n waaminifu...ki ukweli no one is to be trusted yaan beta trust yorself coz as i hv experienced... Mmmmh mapenzi ni kuliwazana tu na kupita hivi na hata kama ni ndoa ni kwa...
ayaaaaaa ishantokea hyo afu nami kipindi hicho nna kesi mahakaman lakin naiendesha kwa siri sana kwa hyo nlikua natoa hongo mpaka bodaboda nliokuaga nayo ili kuzima kesi aseee
mpgie simu na umweleze kuwa mmepata tatizo na unahitaj msaada wake hivyo mkutane sehemu...akikubali kukutana nawe mahali... Wewe pshana nae na uelekee nyumbani kukomba kila kitu afu mambo yote bien....tahadhari ni kwamba hakikisha mishe zote ni siri sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.