Mzimu wa kutendwa!

Mzimu wa kutendwa!

mapenzi ya siku izi ni ya kuishi ki machale machale tuu....
unasoma tu upepo unapoelekea
 
Ni kweli kuwa sasa kutafuta mke wa kuoa au mume ni kazi ngumu pengine sawa kabisa na kutafuta hela,...

Mimi huwa nawaambiaga hawa wazee hapa ofisini kuwa heri wao walioa zamani. Sisi ambao bado tuna kazi ya kumtafuta na kutafuta pesa...yaani ambavyo sijaoa nina majukumu mengi kuliko wao waliooa!!!
 
Sio rahisi hivyo mkuu unachezaje hiyo ngoma.....!
Watu wengine wana jema mkuu umpe nini asikutende dawa hapo kama unavyosema kuwa makini na woga tupa kule...then kaicheze ngoma.,
 
Pole eeenh! Nilikuambia uje kwangu ukakataaa!

Nilikataa??

Hebu acha kusema uongo hapa bana ......

Nisukataa ni wewe ulikuja kunitosa kwa kusema eti ulikuwa unanitania ....lol!
 
Mimi huwa nawaambiaga hawa wazee hapa ofisini kuwa heri wao walioa zamani. Sisi ambao bado tuna kazi ya kumtafuta na kutafuta pesa...yaani ambavyo sijaoa nina majukumu mengi kuliko wao waliooa!!!

Nadhani mkuu upo kwenye ubongo wangu

Haya mambo mawili yanaisumbua sana akili yangu

Mke na hela ..........

Mambo yote haya mawili yanahitaji muda

Muda ni mchache sana,kuugawa na utoshe kwa yote mawili naona kama haiwezekani

Sijui nifanye nini ...!!
 
Ukitaka kuujua utamu wa mapenzi basi usiogope kutendwa ali mradi huyo uliyempenda unaona anastahili penzi lako la kweli, kutendwa kupo na kunaumiza sana, ukiingia robo robo au nusu nusu ndiyo hayo ya kujiona uko empty maana unamdanganya mtu mpaka mweyewe unajichukia. Hongera zako Mkuu kwa kuamua kubadilika.



nakumbuka growing up nilikuwa naiingia kwenye relationships with all emotional doors closed kwa kuhofia kutendwa, tatizo lake ni kwamba unadate mademu kibao lakini hakuna anayekujua on a personal level kwa ajili ya mask uliyovaa.

moral of the story nilikuwa kwenye mahusiano,but deep inside I was empty, I changed my ways na I am lovin the new me.
 
Last edited by a moderator:
Vijana wengi siku hizi ni kulia tu hasa ikitokea mambo hayajakaa sawa kwenye mahusiano.

Hii ni mbaya sana kwakweli
 
1959987_800415180014852_1904239939_n.jpg
 
Nadhani mkuu upo kwenye ubongo wangu

Haya mambo mawili yanaisumbua sana akili yangu

Mke na hela ..........

Mambo yote haya mawili yanahitaji muda

Muda ni mchache sana,kuugawa na utoshe kwa yote mawili naona kama haiwezekani

Sijui nifanye nini ...!!

Njoo kwangu ewe usumbukae na kutafuta mke nami nitakupa amani ndani ya moyo wako.....lol
 
kaa ukijua usaliti upo tu kwa kila mtu aliye chini ya jua...yaan kama huamin embu anza kuwachunguza watu ambao ww unadhan n waaminifu...ki ukweli no one is to be trusted yaan beta trust yorself coz as i hv experienced... Mmmmh mapenzi ni kuliwazana tu na kupita hivi na hata kama ni ndoa ni kwa nia moja tu ya kujenga familia ya pamoja bt cyo kwel kwamba ndo umempenda kiasi cha kuapa kufa kwa ajili yake...naamin wote tunawapenda mama zetu just because we knw SHE IS MY MOM lakin isingekua hvyo ungemchukulia mtu wa kawaida tu.. Sasa kama kwa mzaz wako n hvyoo??vp kwa mpenz wako ambae huenda mmekutana wote mna meno thelathin mdomon?? Kama hata Mungu mwenyewe tunatenda dhambi kila kunapoitwa leo na tunajua kabisa kwamba thc z against God's will lakin ndo ivo tene...the best thng is to live as the nature wants us to live.
 
Back
Top Bottom