Recent content by Mantrex

  1. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Tozo za simu, mafuta na ukusanyaji kodi kupitia luku ni ukombozi wa kiuchumi kwa Watanzania

    kuna haja yahicho tena kiwe colored!!!
  2. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Time Heist and Time Apocalypse: Jinsi muda unavyoathiri Maisha ya ulimwengu na vilivyomo

    Deeper please!!!!!!!!
  3. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Swali la KIZUSHI: Kwa nini hakuna cheti kwa Divisheni Ziro?

    Je mtu aliye pata division 0 anaweza kuwa na elimu ndogo kama ya darasa la saba? Au atafanana na darasa la saba! Kielimu? Kwangu Mimi Miata minne ya kusoma sec. na kitoka na. Sifur hakuwezi linganishwa na mtu aliye ishia la saba
  4. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Ndugai amueleza Dk Shoo ugumu wa kuwa Spika

    Jiuzulu! Kuna watu kibao wanao mudu! Ukiona kazi yoyote inakuwa ngumu jua bas kuwa huna uwezo nayo, achia watu watakao mudu
  5. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo ukiendeleza Siasa madhabahuni utaabika tu

    Umetoa wap pumba! Kama huna chakueleza watu kaa kimya! Kama kuna Aliyeona Shoo kaongea sivyo mbona hawakujibu? Mawazo yako ni bora ukivaki nayo kichwani kwani hayana msaada kwa jamii
  6. Mantrex

    JamiiForums Tanzania R.I.P. Mengi.Lakini mbona Hadi sasa hatuambiwi hadi sasa kafa nini?

    Nadhani ni baada ya msiba watasoma! Wasifu wa marehemu
  7. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje fingerprints zisiendane na za mtu mwingine??

    Kama vile kuna kitu hapa! Ila nadhani ni vema tukingoja wataalamu!!
  8. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nimeshatoa taarifa TCRA, nimewataka wamkamate aliyenichafua kama wanavyowakamata wengine, La, Jumapili patachimbika sababu namjua

    Muda utasema! Hatuna haja yakuwa na haraka! Uongo na ukweli hauchangamani!
  9. Mantrex

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

    Boss baadhi ya watu wanadai ni ITV imeriport ila sina uhakika
  10. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Mfanyakazi wa Tanzania, Mei Mosi 2019

    Mei Mosi 2019: Wafanyakazi wa Tanzania MTAVUMILIA mpaka lini? Barua yangu kwa Mfanyakazi wa Tanzania, Kesho ni Mei Mosi. Kwa niaba ya Wanachama wa Chama Cha ACT Wazalendo natoa salaam za pongezi kwa kazi kubwa ya kujenga nchi ambayo wewe Mfanyakazi wa Tanzania unafanya licha ya mazingira...
  11. Mantrex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu baba ni majanga

    Dogo inatakiwa asepe mbele na kademu kake!! Aachane na Inz🤣
  12. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Kwanini bongo Fenicha za ndani zinauzwa bei kubwa namna hii kuliko mataifa mengine? Tuna matatizo gani?

    Vyanzo vichache vya mapato! Vinavyotumika wakati nchi hii ina mali za kutosha! Hata uvunjifu wa sheria za usalama barabarani kitu kinachotokana na ukosefu ya elimu husika kwa bongo ni chanzo cha mapato Pili , wanasiasa kumiliki biashara mbalimbali! Hilo nalo ni tatizo! Control ya bei inakuwa...
  13. Mantrex

    JamiiForums Tanzania Ndugai kumfananisha CAG na 'Mbwa' ni tusi zaidi ya mtu kusema 'Bunge lina udhaifu' katika kuiwajibisha Serikali

    CAG ni mwana siasa? Acha kuandika mashudu!!
Back
Top Bottom