Ndugai amueleza Dk Shoo ugumu wa kuwa Spika

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Ndugai amueleza Dk Shoo ugumu wa kuwa Spika
Thursday May 9 2019
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema watu wanapaswa kujua ugumu wa kuwa na wadhifa huo na kuwataka wajifunze kuchuja baadhi ya maneno yanayowekwa katika mitandao ya kijamii kwa sababu mengi si ya kweli

ndugaipic.jpg
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai
BY Aurea Simtowe, mwananchi asimtowe@mwananchi.co.tz

IN SUMMARY

Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema watu wanapaswa kujua ugumu wa kuwa na wadhifa huo na kuwataka wajifunze kuchuja baadhi ya maneno yanayowekwa katika mitandao ya kijamii kwa sababu mengi si ya kweli.

Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 9, 2019 katika ibada ya mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.

Amesema wakati watu wakisema katika mitandao ya kijamii ni lazima wajue kazi ngumu aliyonayo.
“Nafikiri baba Askofu (Dk Fredrick Shoo- mkuu wa KKKT) umeona ugumu wa kuwa spika, umejaribu tu kidogo umeona wewe mwenyewe shughuli iliyotokea.”
“Kwa hiyo mnaposema kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Ndugai mjue kazi ngumu niliyonayo,” amesema Ndugai.

Chanzo:Mwananchi online

My Take:
Spika Ndugai amatumia busara kubwa sana kujibu attacks za Askofu Shoo na Mungu ndiye muamuzi katika hili
 
Ah ah naanza amini ukute jingalao=bashite=zirobrain maana alishajijua watanzania wanamjua......hivi hadi dr bashiru kakuvua nguo basi tu umekaa mwenyewe umekaza kichwa,.au umesahau we bashite ushawahi tukana hadi wabunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...ndo jindae na dondoka yako
 
Ndugai amueleza Dk Shoo ugumu wa kuwa Spika
Thursday May 9 2019
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema watu wanapaswa kujua ugumu wa kuwa na wadhifa huo na kuwataka wajifunze kuchuja baadhi ya maneno yanayowekwa katika mitandao ya kijamii kwa sababu mengi si ya kweli

ndugaipic.jpg
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai
BY Aurea Simtowe, mwananchi asimtowe@mwananchi.co.tz

IN SUMMARY
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema watu wanapaswa kujua ugumu wa kuwa na wadhifa huo na kuwataka wajifunze kuchuja baadhi ya maneno yanayowekwa katika mitandao ya kijamii kwa sababu mengi si ya kweli
Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema watu wanapaswa kujua ugumu wa kuwa na wadhifa huo na kuwataka wajifunze kuchuja baadhi ya maneno yanayowekwa katika mitandao ya kijamii kwa sababu mengi si ya kweli.

Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 9, 2019 katika ibada ya mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.

Amesema wakati watu wakisema katika mitandao ya kijamii ni lazima wajue kazi ngumu aliyonayo.
“Nafikiri baba Askofu (Dk Fredrick Shoo- mkuu wa KKKT) umeona ugumu wa kuwa spika, umejaribu tu kidogo umeona wewe mwenyewe shughuli iliyotokea.”
“Kwa hiyo mnaposema kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Ndugai mjue kazi ngumu niliyonayo,” amesema Ndugai.

Chanzo:Mwananchi online

My Take:
Spika Ndugai amatumia busara kubwa sana kujibu attacks za Askofu Shoo na Mungu ndiye muamuzi katika hili

kwa hiyo sakata la sieji lilikuwa uzushi wa mitandao. Wakati tumemsikie wenyewe kwa kupitia mikutano yake na waandishi wa habari
 
Kwa hiyo Ndugai ndiye Spika wa kwanza nchini? Watangulizi wake hawakukutana na hayo magumu?
 
Likely anataka kufanya wonders. No wonder that, he might concern not to work as usual. Labda anafanya kwa mlengo mwingine
 
Mods. Huu uzi unapaswa kuunganishwa na huu...

Na zipo nyingine zote ni kitu kimoja title tofauti
 
Jiwe anasema anafurasituesheni, ndugu Gay anasema kazi ni ngumu sasa tusubiri na yule wa mahakama naye atoe kauli kama hizo ndio tutajua mihimili yote imetandaza kufeli
 
Ndugai amueleza Dk Shoo ugumu wa kuwa Spika
Thursday May 9 2019
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema watu wanapaswa kujua ugumu wa kuwa na wadhifa huo na kuwataka wajifunze kuchuja baadhi ya maneno yanayowekwa katika mitandao ya kijamii kwa sababu mengi si ya kweli

ndugaipic.jpg
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai
BY Aurea Simtowe, mwananchi asimtowe@mwananchi.co.tz

IN SUMMARY
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema watu wanapaswa kujua ugumu wa kuwa na wadhifa huo na kuwataka wajifunze kuchuja baadhi ya maneno yanayowekwa katika mitandao ya kijamii kwa sababu mengi si ya kweli
Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema watu wanapaswa kujua ugumu wa kuwa na wadhifa huo na kuwataka wajifunze kuchuja baadhi ya maneno yanayowekwa katika mitandao ya kijamii kwa sababu mengi si ya kweli.

Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 9, 2019 katika ibada ya mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.

Amesema wakati watu wakisema katika mitandao ya kijamii ni lazima wajue kazi ngumu aliyonayo.
“Nafikiri baba Askofu (Dk Fredrick Shoo- mkuu wa KKKT) umeona ugumu wa kuwa spika, umejaribu tu kidogo umeona wewe mwenyewe shughuli iliyotokea.”
“Kwa hiyo mnaposema kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Ndugai mjue kazi ngumu niliyonayo,” amesema Ndugai.

Chanzo:Mwananchi online

My Take:
Spika Ndugai amatumia busara kubwa sana kujibu attacks za Askofu Shoo na Mungu ndiye muamuzi katika hili
Your take ndio nini takataka wewe unatetea matakataka wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiuzulu! Kuna watu kibao wanao mudu!
Ukiona kazi yoyote inakuwa ngumu jua bas kuwa huna uwezo nayo, achia watu watakao mudu
 
Ukishakuwa wa kusikiliza maelekezo kutoka juu lazima hiyo nafasi iwe ngumu. Si kuna kanuni, taratibu na miongozo ya kuendesha bunge! Sasa ugumu unatoka wapi? Uongozi sio mgumu bali waongozaji ndio wagumu hivyo kuifanya hiyo nafasi kuwa ngumu.
 
Back
Top Bottom