Recent content by Mante

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Israeli, ashauri iwepo ndege ya kutoka JNIA, KIA hadi Israel

    Asante ndugu.at a Mimi nimeelewa kua ameshauri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Israeli, ashauri iwepo ndege ya kutoka JNIA, KIA hadi Israel

    Tena sasa ivi watanzania wengi wanaenda Israel kujionea mahali mahali Yesu Kristo allipoishi, Pia alikozikwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Huo uwaziri wao unahusiana mini na madini yetu?wao wamepewa weupe na nywele za dhahabu.sisi tumepewa dhahabu. Tusitetemeke. Wakachimbe weupe na nywele za dhahabu wauze.sisi tutachimba dhahabu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

    Mungu akutangulie Zari.hao watoto bado wadogo.bado wanaitaji mapenzi ya mama.pambana.hakuna kama mama.
  5. M

    JamiiForums Tanzania DAR: Rais Magufuli amuapisha Bi. Anna Mghwira kuwa RC Kilimanjaro. Akabidhiwa Ilani ya CCM...

    Big ap mama.umesuka kilimanjaro kichwani.unamaanisha unaenda Kilimanjaro.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkeo akiwa na tabia hii utamfanya nini kwa mfano?

    Uyo ci mke,ni kahaba.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya kipanya

    Bustan nayo ni kulima.kwani ukikaa bustan inakuja?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuache maneno tuweke ushahindi, njaa hii hapa shibe hii hapa

    Uku kwetu babat tulipata mahindi sana.na tumeuza nje ya nchi sana, mbaya atukuweka akiba.Tukisema tuna njaa hakika tutakuwa tunamkufuru Mungu.tuseme sisi ni wajinga!!! Atukujua kesho.naunga mkono hoja akuna njaa tz.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wakulima pandisheni bei za mazao kadri mtakavyo

    Wanyonge,wanyonge.si wavivu.angalia por lililoko toka segera mpaka chalize,watu awalim nikasema hili por kwanini alikua kwetu kilimanjaro?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Leo nimekumbuka maneno ya marehem baba yangu.alinambia ivi .omba kila kitu usiombe mahindi,na siku zote usikubali kununua chakula cha kibaba wakati ardhi umepewa na Mungu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu "mzee bure" aliyetajwa na rais Magufuli ni nani?

    Yaan vitu vya bure.ndivyo nilivyomuelewa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba za rais wetu magufuli ni tamu sana

    Ni kweli auze.maana ukame aujaletwa na magufuli.amlilie Mungu wake.kwa iyo alitaka mheshimiwa rais amletee mvua? Wasikuchoshe JPM.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea ''kijiwe chake'' Chato kuongea na mafundi viatu

    Tena achen apata raha kwao.kama wachaga na kwao.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimekoma kuazimisha gari

    Hao ni ushamba wa gari unawsumbua. Gari!! Ni roho iyo? Acheni ushamba.we ulizaliwa nalo? Umetafuta ukapata nae iko siku atapa. Si wachaga atunaga hizo.gar unampa rafik yako na likiaribika unatengeneza na uuliz chochote.hayo ndo maisha.gari! Unajadili gar mpaka unalifananisha na binadam? Wakat...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Naunga mkono hoja.kwa nini asipendekeze kwanza kuacha kutoa umeme unit 700 kwa wafanyakaz wa tanesko? Anakimbilia kwa walala hoi?
Back
Top Bottom