Tafakari ya kipanya

Eeeeh

Mkalime, mkafanye kazi

Hata awamu zilizopota wa njaa walikuwepo kama kawaida

Watu waache uvivu na kutaka vya burebure
Unajua tatizo sio watu hawataki kulima tatizo ni ukame uliosabababishwa na mabadiliko ya tabia nchi sasa kama hakuna mvua yaani maji utalimaje na je mazao yatakubali bila maji
 
ahaaa sawa madam lakin ukwel ndio huo njaa kwel ipo na mifugo inakufa daily na mtu huakika wa milo 3 haupo tena sasa ni mlo mmja hatali sana hii...

Wapi mifugo inakufa, wameambiwa wauze kama wanaona hayawezekani. Ni hao hao kama yule alisema ng'ombe elfu 17?
 
Mwenzetu unaishi ikulu nini? Maneno yako sawa na ya Mr. Pombe leo Simiyu. Walime kuna mvua au umeshatengeneza mifereji ya umwagiliaji? Yawezekana wewe umezaliwa Manzese, umekulia Manzese na kuolewa manzese ingawa sasa unaishi Ikulu kulikojaa ghala lakini haijabadili haiba yako.

Si kwa kucheka, Manzese oyeeeee.
 
Unajua tatizo sio watu hawataki kulima tatizo ni ukame uliosabababishwa na mabadiliko ya tabia nchi sasa kama hakuna mvua yaani maji utalimaje na je mazao yatakubali bila maji

Maeneo gani yanakumbwa na hayo uliyoandika?
 
Warudishe hela zetu kama hawajui pa maana pa kuzitumia, sasa mwisho wa siku inakuwa malumbano tu Mara kuna njaa mara hakuna....kwn njaa nayo ni ya kuanza kufanyia utafiti??..
 
Hivi unajua maana kulima?ndio nyie ukiwa na bustani tu unajiita mkulima

Una mawazo finyu kwani unadharau capacity ya kilimo cha umwagiliaji na jinsi kinavyoweza kuzalisha mazao ya kutosha!! Umewahi kusikia jinsi wanavyozalisha mazao huko jangwani Israel? Kama wao wanaweza huko jangwani sisi tunashindwaje tukiwa na mito na maziwa lukuki? Acheni uvivu wa kufikiri.
 
Hongera mkuu naona upo ikulu sbb huko kuna kila aina ya ufugaji na kilimo. Ukiamka asubuh chai ya maziwa, supu na pocho pocho mengi. Tangu lini kukawa na njaa?
Tukisema tz nchi maskini ww unaelewa nn? Mbona una mawazo ya kitoto hivyo? Unalinganisha Israel na Tz?
Hali ngumu watu wanaishi chini ya dola moja halafu ww unasema kilimo cha umwagiliaji wakati wakulima wengi wanatumia jembe la mkono. Sijui wengine wapo ndotoni. Mnasema km vile tupo marekan vile. Ww unashamba na unafanya huo umwagiliaji?
 
Eeeeh

Mkalime, mkafanye kazi

Hata awamu zilizopota wa njaa walikuwepo kama kawaida

Watu waache uvivu na kutaka vya burebure
Hongera mkuu naona upo ikulu sbb huko kuna kila aina ya ufugaji na kilimo. Ukiamka asubuh chai ya maziwa, supu na pocho pocho mengi. Tangu lini kukawa na njaa? Tukisema tz nchi maskini ww unaelewa nn? Mbona una mawazo ya kitoto hivyo? Unalinganisha nchi zilizoendelea na Tz? Hali ngumu watu wanaishi chini ya dola moja halafu ww unasema kilimo cha umwagiliaji
wakati wakulima wengi wanatumia jembe la mkono. Sijui wengine wapo ndotoni. Mnasema km vile tupo marekan vile. Ww unashamba na
unafanya huo umwagiliaji? SIKU ZOTE HAO WAKULIMA WALIKUWA WANATEGEMEA CHAKULA CHA SERIKALI? WATU WAKIPATA PA KULA NA KUNY.A WANAANZA DHARAU SANA. HONGERA YAKO KM CHEO NDIYO UNZTAFUTA KWA NJIA HIYO UTAKIPATA KUPITIA KWA MTUKUFU WAKO.
ILA POLE SANA, AWAMU HII WATU WENG WAMEJITOA UFAHAMU SANA. KM MNATAKA WATU WAFANYE KAZ KWANN HIZO AJIRA MEZISHIKIRIA?
 
Tukisema tz nchi maskini ww unaelewa nn? Mbona una mawazo ya kitoto hivyo? Unalinganisha Israel na Tz?
Hali ngumu watu wanaishi chini ya dola moja halafu ww unasema kilimo cha umwagiliaji wakati wakulima wengi wanatumia jembe la mkono. Sijui wengine wapo ndotoni. Mnasema km vile tupo marekan vile. Ww unashamba na unafanya huo umwagiliaji?

Tatizo lako wewe ni mtu uliekata tamaa hivyo huwezi kufanikiwa, unangojea uende kanisani na padri akwambie utoe sadaka ili akuombee chakula kitakuja chenyewe BWANA atatoa!! Acheni ujinga huo jishuhulisheni and do not be pessimistic!!
 
Una akili kweli? Huwa unaninulia chakula?
NYIE NDIYO MIAKA NENDA RUDI MEAJIRIWA, MNAENDA MPAKA KWA WAGANGA ILI MSIFUKUZWE KAZI. KAZ KULALAMA WATU WAJIAJIRI
Kwa vile ww unasehemu ya kula na kunya unafikiri kila kitu kinawezakana?
Acha kuwa msukule ww wa chama, pesa hakuna. Ingekuwa km unavyofikiri hii nchi ingekuwa km uingereza. Unafikir watu wanapenda kulima kwa jembe la mkono? Tatizo UVCCM msaka cheo
Mvua hakuna watu wamelima mazao yamekauka. Ww ndiyo kweli msukule wa sisiem
 
Eeeeh

Mkalime, mkafanye kazi

Hata awamu zilizopota wa njaa walikuwepo kama kawaida

Watu waache uvivu na kutaka vya burebure

Japokuwa sijasoma kihivyo ila elimu na maarifa nliyonayo yanatosha kufaham kuwa ili mazao yastawi yanahitaji ardhi yenye rutuba pamoja na maji.

Sasa kama hakuna mvua na irrigation haiwezekani kwa eneo husika kulima huko analimaje mkuu...?

Hapo bado pesa ya kukodi eneo, walimaji, mbolea, madawa nk

Kipato chenyewe ndio kama hivyo na ajira wamesitisha, hivi ulifkiria kwanza kabla ya kuandika...?
 
Tatizo lako wewe ni mtu uliekata tamaa hivyo huwezi kufanikiwa, unangojea uende kanisani na padri akwambie utoe sadaka ili akuombee chakula kitakuja chenyewe BWANA atatoa!! Acheni ujinga huo jishuhulisheni and do not be pessimistic!!
Mkuu jipange sana km ndiyo umetumwa ushindwe na ulegee. Watu walime nn wakat mvua hakuna, mazao yanakaukia shamban. Hii yote ni sbb ya laana za fisiem na wapiga zomari km ww. Ulipo unaongea ongea hata shamba hauna. Tabu tupu. Ndiyo tatzo la kuwa UVCCM sijui huwa mnalishwa nn na malaika wenu mkuu.
 
Japokuwa sijasoma kihivyo ila elimu na maarifa nliyonayo yanatosha kufaham kuwa ili mazao yastawi yanahitaji ardhi yenye rutuba pamoja na maji.

Sasa kama hakuna mvua na irrigation haiwezekani kwa eneo husika kulima huko analimaje mkuu...?

Hapo bado pesa ya kukodi eneo, walimaji, mbolea, madawa nk

Kipato chenyewe ndio kama hivyo na ajira wamesitisha, hivi ulifkiria kwanza kabla ya kuandika...?
Well said mkuu halafu anatokea mpiga zomari wa sisiem anakuambia mfanye kaz meshazoea vya bure. KUNA MTU ANAPENDA KUWA MASKINI? MIAKA NENDA RUD KILIMO CHETU CHA JEMBE LA MKONO HALAFU MTU ANASEMA IRRIGATION SASA HIYO IRRIGATION ITAWEZEKANA KWA KIPATO CHETU CHA 2000? MATREKTA YENYEW YANATOKA CHINA ULIZA BEI UONE BILA M HUTOI.
Utasikia kichaa mmoja anakuambia km Misri wameweza kilimo cha umwagiliaji kwann ss tunashindwa? Km tu Pombe kashindwa kutoa ajira au kuhamia dom huyu mkulima wa chin ataweza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom