Recent content by Mantaleka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuinyima misaada Russia ni ujinga usiofikirika kwa Marekani

    Koba, unaonyesha upungufu mkubwa wa 'exposure' fanya utafiti kwanza ujue Urusi ni kitu gani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kuzidii kwa ujambazi, wizi, na maovu mengine katika jeshi la Polisi ni hii hapa

    hya bwana kwa kuwa liko kwa mwenzako.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi mwandamizi Ikulu adai kufukuzwa kama mbwa...

    mhn, kazi kwelikweli, hatutafika , kwa michango ya watu inaonyesha tusivyo kuwa waadilifu, na ukiwa muadilifu unatukanwa! nilikuwa napita tu !
  4. M

    JamiiForums Tanzania 'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

    unamtindio wa ubongo wewe ! ki vipi chadema inahusika, sana sana kama si chadema basi asingegundulika kuwa anatumia mavazi ya kijeshi kinyume cha sheria, hakutumwa na chadema kuvunja sheria, na kama alivunja sheria akahukumiwa na mahakama na mwenyewe kukiri kosa lake, basi hiyo ndiyo stahili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (SUGU) MB afanya kweli Mbeya Mjini

    Mradi mzuri, kweli ukitekelezwa tutasonga mbele
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto & Dr. Slaa Kaeni kitako katika hili

    hujui ulisemalo, labda kama umetumwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka wa Malawi na Tanganyika uko hapa!!!!

    yaaani wewe una akili sana! nimeipenda sana hii !
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwl.Nyerere alifanya jambo hili mbele yangu mwaka 1998

    Mwalimu alikuwa yeye, na hakujifanyisha, kujiigiza wala kujifananisha, alichokuwa anakisema ndicho alichokuwa ana kiishi, yeye alikuwa ndiye yeye yule na si mwingine kwa mema, mazuri na mapungufu, kama mungu alivyo mjalia ndiyo maana anaheshimika, na ataendelea kuheshimika kwa wote wanao penda...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

    Namshangaa Mh Chambo kumteua Bw Jaso Rugairuza kuwa Mwenyekiti wa kamati,anamfahamu vizuri huyo Mhe Rugairuza ??kweli,Hvi Tanzania inakwenda wapi? Huyu jamaa aliyeteuliwa hafai kwani ni yeye ndiye aliyesababisha mrundikano wa wa mizigo pale Bandarini alpokuwa Port Manager kabla ya Cassian...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Gaudays, pambaf !
  11. M

    JamiiForums Tanzania Photographers' Corner

    nimejitambua, leo kweli baada ya kuangalia picha hizi, nimejifunza mengi mno. hongera nyingi kwa walio post picha zao humu na nimesikitika sikupita mapema kuangalia huku. I will come back one day with a big suprise BIG UP and thanks to all that contributed to this thread !!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    tutafika tu, tunakaribia, tuchinjane weeeee halafu tuta heshimiana na kuijenga tanganyika yetu pamoja
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waliogawa Sanda Nachingwea ili Kudhibiti M4C Wafariki Dunia!

    [LIST] [URL="https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/279951-waliogawa-sanda-nachingwea-ili-kudhibiti-m4c-wafariki-dunia.html#"]
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawa gumzo Marekani, vua gamba vaa gwanda!!

    Wachangiaji kweli munanipa raha, vijembe vyenu kweli ni powa!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

    William, Hongera sana kwa kuthubutu, nilitamani sana nikuone ukijieleza pale bungeni jana , na bahati nzuri nikabahatika kukushuhudia ukijieleza, sikufahamu, lakini nilifarijika kwa maelezo yako na nilitamani wakupitishe, bali nafasi zilikuwa chache. Unaweza, jiamini na uthubutu tena mwanzo mzuri !
Back
Top Bottom