Zitto & Dr. Slaa Kaeni kitako katika hili

Zitto & Dr. Slaa Kaeni kitako katika hili

Dr. Slaa ni mtu msafi awezi kukaa kujadiliana na mshirikina na mvivu na mwenye tamaa ya kimaslahi binafsi km zzk huyu si saiz yake ata kdogo akajadiliana na ndugu ndio akili zao zinalingana

Kama hujui tambua hili kwamba hakuna mtu msafi hapa chini ya jua,wote kila mmoja ana mapungufu yake isipokuwa tu yanazidiana kwa hiyo kwa hiyo kauli yako hapo hauko sahihi,na ukitaka kuamini hilo mfuatilie Dr Slaa vizuri katika kipindi cha tangu mwaka ule wa uchaguzi 2010 uone kama kweli yey ni msafi!!!!
 
WABHEJASANA kila siku unalalamika kwamba Chadema inakukatisha tamaa, kwamba itakufa/kuparaganyika hivi karibuni. Lakini wewe ndiye unashabikia mambo ya Chadema hapa JF kwa kiwango kikubwa sana. Kila ukiona thread ya Chadema lazima uweke kambi, na kama hiyo haitoshi umeendelea kuanzisha thread zinazoihusu Chadema.
Sasa huu kama sio upopo ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Inaniuma sana kuona Chama ambacho tunakipenda na kukieshimu CDM Kinaanza kuharibiwa na watu wachache.Kipindi cha kampeni za bwana nasari ,joshua huku arumeru hakuna watu waliokuwa wanamjua Rais wa 2015 kama sio Dr slaa,hii ilionyesha ni jinsi gani alivyokuwa anakubalika,lakini sasa tayari vinaibuka vikwazo vingine ambavyo kiukweli havina msingi wowote.Ni kweli mnavyokwaruzana huko juu hamjui ni jinsi gani mnavyotuumiza kama wanachama wenu,na hii inatufanya hata tuanze kukosa ujasiri mbele ya maasimu wetu;ndugu zangu fanyeni hima haya mambo yaishe.Tunamjua Rais wa 2015 ni Dr. Slaa hawa wengine wanatoka wapi!Haraka yenu ya kutaka kupata urais mapema ndio hiyo inatugharimu.
Na kumbukeni sio wanachama wote wanaweza kuvumilia hayo yote wengine wakishasikia maneno kama hayo hudhubutu kukimbia sehemu nyingne kujihifadhi.Tugeuke na kamwe tusiwape maasim wetu nafasi.
CDM FOREVER.
 
Wazee wangu msiogope! haya ni ya siasa alafu ni kawaida. Human being is a political animal
 
Ndani ya chama, Slaa anakubalika makao makuu, Zitto anakubalika matawini.
Slaa anashindwa kusoma alama za nyakati, kushindana na Zitto kunamshusha daraja kila siku hasahasa ndani ya chama.

CCM wanajua kwa kiwango gani Dr. Slaa anakubalika, kamuulize Kikwete! Hizo propaganda Zenu za kukitukuza kinyonge na kukidhihaki chanye nguvu hamtafanikiwa sisi CHADEMA tunajua nani anakifaa chama kwa wakati gani, msituletee uhuni, wenu ZITTO is the future of CHADEMA hakuna ubishana kwa hilo kama atajipambanua na kuachana na hao vijana wanaojiita masalia, lakini the present of CHADEMA in Dr. Slaa. Kila jambo na wakati wake! Watanzania wanamuhitaji Dr. Slaa masiwazubaishe na cheap politics zenu!
 
Ndani ya chama, Slaa anakubalika makao makuu, Zitto anakubalika matawini.
Slaa anashindwa kusoma alama za nyakati, kushindana na Zitto kunamshusha daraja kila siku hasahasa ndani ya chama.

hujui ulisemalo, labda kama umetumwa
 
Kilichonifurahisha ni kwamba hawa watu wako makini sana,wote wawili wamewatumia wafuasi wao kutoa hoja na maelezo lakini wao hawajajitokeza kujibu chochote,hii inaonesha ni namn gani ni wakomavu katika siasa za nchi hii,na kwa sababu hawajafanya hivyo humu jukwaani basi wakae chini,hiki chama kinapendwa na watu na kimekua kimbilio la wanyonge hili halina ubishi,lakini vurugu na kelele zinazoendelea hizi zitawafanya watu kuwa na taharuki mwisho watakata tamaa,na ukweli ni kwamba chama bana ni watu asikudanganye mtu.
Diwani wa mahakama sisi tuna akili zetu zote hatujalala we are watching you, wewe si upo pale mwanza kwa amri ya mahakama si ulisema hutatemwa sasa maliza uwenyekiti wa kamati 2015 chapa lapa huyo kigagula aka prezzo unayemuuza si mali kitu ni bidhaa mbovu
 
Kama hujui tambua hili kwamba hakuna mtu msafi hapa chini ya jua,wote kila mmoja ana mapungufu yake isipokuwa tu yanazidiana kwa hiyo kwa hiyo kauli yako hapo hauko sahihi,na ukitaka kuamini hilo mfuatilie Dr Slaa vizuri katika kipindi cha tangu mwaka ule wa uchaguzi 2010 uone kama kweli yey ni msafi!!!!
Mbona ulisha tukana hapa JF na kila aina la tusi ulimtukana DR Slaa mbona sasa unakuwa mpole rafiki yako prezzo aka matunuri aka kigagula amesoma namba kwa ushuhuda anajua namba inaishia baada ya ushuhuda wa nyie na mwenzio meya wa magumashi na wale wa Arusha anajua rungu liko karibu ndio maana anawatuma watu kama nyie muja hapa mupooze wewe tangu lini ukamsifu DR Slaa tumekufuatilia posts zako zote tunazifahamu mh diwani
 
Ndani ya chama, Slaa anakubalika makao makuu, Zitto anakubalika matawini.
Slaa anashindwa kusoma alama za nyakati, kushindana na Zitto kunamshusha daraja kila siku hasahasa ndani ya chama.

Usiwalishe matango pori watu wewe mtu. hivi si juzi tu hapa jf kulikuwa na kura ya maoni huyo kipenzi chako kikapata kura aslimia ngapi? Tunajua kuwa magamba wanaamini uchaguzi ukifanyika chadema itashinda sasa nani wa kulinda maslahi yao ni huyu jamaa yao. Zk hana uwezo wa kushinda urais mana watu wanaona kuwa ni kibaraka. Hivi hujiulizi kwa nini ninyi magamba mnampenda yeye? Watanzania wa sasa ni tofauti sana na wale 1995, na hata wa 2010 ni tofauti sana na wa 2015 ambao karibia wapiga kura 85% watakuwa watumiji wa simu hivyo mpaka saa sita mchana siku ya uchaguzi mzee mzima CCM tayari atakuwa ameshanyolewa kwa kisu butu.
 
Diwani wa mahakama sisi tuna akili zetu zote hatujalala we are watching you, wewe si upo pale mwanza kwa amri ya mahakama si ulisema hutatemwa sasa maliza uwenyekiti wa kamati 2015 chapa lapa huyo kigagula aka prezzo unayemuuza si mali kitu ni bidhaa mbovu

Chama chochote cha siasa kina lengo la kukamata dola na ni vigumu kukamata dola pasipo kuwa na wafuasi wa kutoka pande mbali mbali za nchi yetu. Ni ajabu kuona demokrasia inapindishwa kwa kuwa na mtu maalum wa kugombea urais. Sasa chama kina viongozi km; wa mahakamani, wa kuteuliwa na wa kuchaguliwa. Basi wakuu huyo akimaliza muda wake mumuondoe taratibu , kwani SI HASA si ugomvi.
 
Hili jamaa Punga kweli. Sasa ukisimama hapa kumtetea Slaa ambaye wengi tunaamini ndiyo mwenye uwezo wa kuwaondoa hawa Wakoloni weusi, basi inaonekana sisi ni kundi la Slaa?

Muone bichwa kama *&^%$. Mie Slaa hawezi kuniweka kwenye kundi lake wala Mwana Siasa yeyote yule labda ndugu yangu wa karibu ambaye ninamfahamu nje ndani na kumuamini. Vinginevyo ntasimama tu na kumtetea kwa kuangalia matendo yake ila hawezi kuniweka kwenye kundi lake.

Hii kwa kweli ni kali kuzidi ya UGAGULA wa Zitto, eti KUNDI LA SLAA.

"........ Call the Cop when you see Dr. Slaa......." By Tupac.
Sahihisho Dr. Slaa hana kundi, hajawahi kuunda kundi ndiyo maana hakuomba kugombea urais ila aliombwa. Kinyume ni kweli kwa ZZK. Hakuna cha kudadavua ukweli utajitenga
 
Zitto anajua CHADEMA inanguvu kuliko yeye,pia anajua kuwa Dr.Slaa ni tishio si kwake tu bali hata kwa CCM.Zitto amechangia kupatikana kwa madiwani wangapi jimboni kwake?Ajifunze kwa Dr.Kaburu.Lakini aliyepandisha maada anaonekana anausudu ukabila kama ni mwana siasa aache siasa za kijinga.
 
Mnamdhalilisha DR.Slaa kumhusisha na Mtu (Zitto) anayeamini ushirikina. Itakuwa ni kosa kubwa kwa Chadema kumwacha bila kumuadabisha mshirikina huyo kuelekea kwenye ukombozi wa kweli wa nchi hii kwa kuondokana na ushirikina, udini, ukanda, ufisadi, rushwa, uhujumu, unafiki na kutokuwa na uzalendo kwa nchi yetu.
 
Kilichonifurahisha ni kwamba hawa watu wako makini sana,wote wawili wamewatumia wafuasi wao kutoa hoja na maelezo lakini wao hawajajitokeza kujibu chochote,hii inaonesha ni namn gani ni wakomavu katika siasa za nchi hii,na kwa sababu hawajafanya hivyo humu jukwaani basi wakae chini,hiki chama kinapendwa na watu na kimekua kimbilio la wanyonge hili halina ubishi,lakini vurugu na kelele zinazoendelea hizi zitawafanya watu kuwa na taharuki mwisho watakata tamaa,na ukweli ni kwamba chama bana ni watu asikudanganye mtu.

Ungekuwa mfatiliaji ungeona majibu ya Zitto,akimjibu Ben saa8,kajaribu kujitetea lakini wapi, nazaidi kaaribu kwa kuwatishia watu kwamba amesikia kuna tetesi za kuchinjana: "Ameaga kwao atakayemuua yy adhan hata panya km atabak kwao" Hii imekuwa statement mbaya kuliko zote kwa ZZT kwa mwaka 2012. Nadhan baada ya hapo washauri wake wamemshauri hasijibu hoja akae kimya
 
By Wabhejasana

"Hakuna ubishi kwamba Zitto anakubalika na anao wafuasi wengi na hasa ukanda wa Ziwa ambao hakuna ubishi kwamba una watu wengi,lakini Slaa naye ana kundi kubwa ingawa kwa kiwango kikubwa anaonekana kuungwa mkono zaidi na watu kutoka kaskazini ambao ukiangalia idadi yake si kubwa kama ile ya Ziwa,kwa hiyo kinachokuja kutokea hapa ni kwamba zitabaki zile kanda za kusini,kati na mashariki ambapo huko itategemea nani mwenye mvuto zaidi na kwa vyovyote ni lazima watagawana ingawa kuna mshindi lazima tapatikana bila kujali ni Zitto ama Dr Slaa"

Huku ni Uongo mkuu. kukubalika kwa Zitto kulitokana na Juhudi za DR. Slaaa,

Wabunge wengi wa Chadema wameongezeka bungezi ni juhudi za DR. Slaa

kanda ya ziwa DR. Slaa anakubalika kuliko mtu yeyote : wazeee kwa vijana , zitto labda akubalike kigoma peke yake na Tena kwenye jimbo lake.

Baada ya DR. Slaa kanda ziwa anayefuata kukubalika ni Maghufuli, ambaye sasa umaarufu wake umeanza kupungua.

Kwa kanda ya ziwa List ya wtu wanokubalika.

DR. Slaaa....60%
Maghufuli........15%
Sitta.............12.5%
Zitto..............12.5%

Nyanda za Juu kusini.

DR. Slaaa.........54%
Mwandosya.......30%
Mwakyembe.......11%
Zitto.................05%

Kusini(Lindi,Mtwara)

Membe..........54%
DR. Slaa..........36%
Zitto..............10%

Nyanda za Juu kaskazini
DR. Slaa..........70%

Lowasa...........26%

Zitto............04%

Dar + Pwani

Kikwete......48%

Dr. slaaa......42%

Zitto...........10%

Hapo tu ndipo mnapo nifurahishaga na takwimu zenu za KUFIKIRIKA
 
Usiwalishe matango pori watu wewe mtu. hivi si juzi tu hapa jf kulikuwa na kura ya maoni huyo kipenzi chako kikapata kura aslimia ngapi? Tunajua kuwa magamba wanaamini uchaguzi ukifanyika chadema itashinda sasa nani wa kulinda maslahi yao ni huyu jamaa yao. Zk hana uwezo wa kushinda urais mana watu wanaona kuwa ni kibaraka. Hivi hujiulizi kwa nini ninyi magamba mnampenda yeye? Watanzania wa sasa ni tofauti sana na wale 1995, na hata wa 2010 ni tofauti sana na wa 2015 ambao karibia wapiga kura 85% watakuwa watumiji wa simu hivyo mpaka saa sita mchana siku ya uchaguzi mzee mzima CCM tayari atakuwa ameshanyolewa kwa kisu butu.

Narrow thinking, Hivi ulishafanya utafiti na Ukagundua ni Asilimia ngapi ya wana CDM wasio na access ya kuingia JF? Ndo mnajijengea fikra kuwa chama kinakubalika na Watanzania kwa kuangalia responses za members wa JF!!!
 
WABHEJASANA kila siku unalalamika kwamba Chadema inakukatisha tamaa, kwamba itakufa/kuparaganyika hivi karibuni. Lakini wewe ndiye unashabikia mambo ya Chadema hapa JF kwa kiwango kikubwa sana. Kila ukiona thread ya Chadema lazima uweke kambi, na kama hiyo haitoshi umeendelea kuanzisha thread zinazoihusu Chadema.
Sasa huu kama sio upopo ni nini?

Huyu WABHEJASANA kwenye thread ya Nnape kaandika hivi
Kaka Nape wala hawatafika 2015 wanasambaratika mwakani tu kama si mwaka 2014,hivi unadhani watafika wakati huo kama sasa hivi wameanza kulumbana na hasa ukizingatian kwamba ni watu ambao hawana mizizi imara?,wewe huko umekwenda mbali sana wala hata hawafiki Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom