Recent content by mansury rugajo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tutaje dhambi za zamani ambazo sio dhambi siku hizi!

    kushangilia ndege kukamatwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ninavyoimudu ndoa ya Wake Wawili

    nilijua mwenye wake wawili humu ni mm tu peke yangu, ila hawa viumbe wanahitaji ubabe sana ndio utaweza kuishi nao vizuri maana ukichekacheka nao hawachelewi kukupangia njama za kukuendesha kama vile wao ndio walio kuoa wewe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona kijana msela anafanya haya mambo jua huyo kuoa ni majaliwa ya Mungu

    Rais Magufuli endelea kuwanyoosha mpaka wasahau kama kuna uchaguzi 2020, kwa maana watu wamekosa kazi mpaka wanaona ni bora waandike matope 😁😁😁😁
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa majanga haya,:wanaume watazidi kupungua sana,nani atatuoa?

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa majanga haya,:wanaume watazidi kupungua sana,nani atatuoa?

    waislamu tumeruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja lengo ikiwa ni kupunguza idadi ya wanawake wasio na waume mtaani na kuondosha wimbi la ukahaba kwa sababu inajulikana wazi kua wanaume ni wachache kuliko wanawake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sikuamini kama waarabu wapi hivi

    jamani mm ni mgeni humu hao waarabu hata siwajui wanatokea nchi gani huko barani ASIA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

    mm nasubiri kauli ya makonda hapo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu Wa IT Mtusaidie Kwenye Hili

    mbona amba ruty hamkumtetea kua sio yeye au mlikua hamja zaliwa?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nipo hapa leo niulize chochote kunihusu na maisha kwa jumla utajibiwa

    naomba niulize maswali yangu haya matatu: 1-ni vipi mtu anaweza kupata furaha katika maisha yake? 2-umetwambia una mtoto mmoja je unampango wwte wa kuongeza mtoto mwingine? 3- kama utakua hauna mpango je ikifikia hatua mungu kamuhitaji huyo mtoto wako kwa sasa je utaishi maisha ya bila mtoto...
Back
Top Bottom