Tutaje dhambi za zamani ambazo sio dhambi siku hizi!

Back years early 2000s pale FPCT Tabora mchungaji alihubiri Kwa ushujaa akisema simu ni dhambi na zimetengenezwa toka kuzimu kuharibu kizazi hiki! Kwa kuwa wengi hatukuwa na simu tulijikuta kuzichukia!

Few months nimepita pale, Mzee anazo kama 3 na tablet juu!!

Dhambi nyingine zilikuwa kuvaa jinzi, kupaka shedo, kuweka kalikiti kichwani (maarufu kupaka dawa), kuvaa wigi, mwanamke kuvaa suruali, mwanamke kuvaa sketi yenye mpasuo, nk!

Siku hizi hizi sio dhambi, maana madhehebu yote wanajiachia tu!

Tutende mema, huyo Mungu Kama yupo tunamjaza maneno ambayo tunakuja kuyakanusha wenyewe!

Dhambi ya kubeti/kamari, siku hizi mpaka viongozi wa dini wanabeti.

Dhambi ya unafiki ,siku hizi viongozi wa dini wanaongoza kwa unafiki ili wapate vyeo serikalini mfano wale walioomna dua ili ndege iachiwe .

Dhambi ya kuzini na kula tigo ,siku hizi ni jambo la kawaida sana.
 
Kumbebea mabango Rais wakati wa nyerere ilikuwa dhambi kubwa, ulikuwa unapotezwa mazima, sikuhizi ndo anasimama na kuyasoma na mengine anabeba kabisa yanakuwa homework ka ya english medium,
 
Back years early 2000s pale FPCT Tabora mchungaji alihubiri Kwa ushujaa akisema simu ni dhambi na zimetengenezwa toka kuzimu kuharibu kizazi hiki! Kwa kuwa wengi hatukuwa na simu tulijikuta kuzichukia!

Few months nimepita pale, Mzee anazo kama 3 na tablet juu!!

Dhambi nyingine zilikuwa kuvaa jinzi, kupaka shedo, kuweka kalikiti kichwani (maarufu kupaka dawa), kuvaa wigi, mwanamke kuvaa suruali, mwanamke kuvaa sketi yenye mpasuo, nk!

Siku hizi hizi sio dhambi, maana madhehebu yote wanajiachia tu!

Tutende mema, huyo Mungu Kama yupo tunamjaza maneno ambayo tunakuja kuyakanusha wenyewe!
Sisi tulikuwa tukiambiwa kuangalia michezo ya TV....aka tamthilia enzi tausi imebamba hatarii ni dhambi....tulikuwa tukiangalia kwa kujiiba. Unazima taa sebuleni unaangalia TV .sauti chinii
 
Ni kweli hata huko tunakoelekea watu watakuwa wanatembea wamevaa chupi tu, itazoeleka na itakuwa kitu cha kawaida.
Tunarudi tulikotoka! Ina shangaza kusema kutembea uchi ni dhambi, wakati hizo hakukuwa na nguo.
 
Hili.makanisa mengi yakiwemo wasabato,walokole,wakatoliki,anglikana no walilivalia njuga kuwa Biblia inasema mwanamke asivae nguo zimpasazo mwanaume.Wakasahau kuwa jeans za Wanawake Ni tofauti na jeans za wanaume .jeans za kike ni vazi la kike si la kiume sababu jeans za kike hakuna mwanaume aweza vaa.kuna mkutano wa maaskofu katoliki ulitanyika bagamoyo nikaenda kutalii pale beach sehemu ya hoteli ya stela Maris. Kulikuwa na masista wazungu walitoka ulaya walikuwa sehemu ya mkutano Kama sekretariat or whatever walikuwa wamevaa jeans na walikuwa wakienda mkutanoni nazo . .Hakuna Bishop Katoliki aliwaambia wasivae jeans wazungu wale masista mkutanoni.Nikauliza chapombe Askofu mmoja aliyekuwa kakaa nao nikaambiwa ulaya Sio masista wote huva gubigubi na hijabu za kisista Kama masista wa Tanzania .Wale huvaa kawaida casual kuonyesha kuwa they are part of the society.Africa naona litakuja tu.Sababu sielewi kwa Nini mkutano ule uliohusisha maaskofu katoliki hawakuzuia masista wazungu kuingia na jeans mikutano yao pale Stella Maris hotel bagamoyo Labda sababu Ni wafadhili.TEC Hilo vipi any comment please
Tunajiwekea vikwazo vingi ambavyo ukiangalia kwa undani, havina mantiki.
 
Kuua,kutesa watu.
Kupoteza watu.
Kubambikia kesi watu kama uhujumu uchumi nk.
Zote hizo siyo dhambi maana wanasiasa wetu wanazifanya Sana.
 
Matusi.. zamani matusi yalikua dhambi lakini sasa hivi watu wanaitana kwa matusi na hakuna anayechukia..
Unakuta mtu anamuita mwenzake "we msengee umeamkaje?" "We boya kumbe upo?"
 
Hili.makanisa mengi yakiwemo wasabato,walokole,wakatoliki,anglikana no walilivalia njuga kuwa Biblia inasema mwanamke asivae nguo zimpasazo mwanaume.Wakasahau kuwa jeans za Wanawake Ni tofauti na jeans za wanaume .jeans za kike ni vazi la kike si la kiume sababu jeans za kike hakuna mwanaume aweza vaa.kuna mkutano wa maaskofu katoliki ulitanyika bagamoyo nikaenda kutalii pale beach sehemu ya hoteli ya stela Maris. Kulikuwa na masista wazungu walitoka ulaya walikuwa sehemu ya mkutano Kama sekretariat or whatever walikuwa wamevaa jeans na walikuwa wakienda mkutanoni nazo . .Hakuna Bishop Katoliki aliwaambia wasivae jeans wazungu wale masista mkutanoni.Nikauliza chapombe Askofu mmoja aliyekuwa kakaa nao nikaambiwa ulaya Sio masista wote huva gubigubi na hijabu za kisista Kama masista wa Tanzania .Wale huvaa kawaida casual kuonyesha kuwa they are part of the society.Africa naona litakuja tu.Sababu sielewi kwa Nini mkutano ule uliohusisha maaskofu katoliki hawakuzuia masista wazungu kuingia na jeans mikutano yao pale Stella Maris hotel bagamoyo Labda sababu Ni wafadhili.TEC Hilo vipi any comment please

Wakikujibu naomba uni C.C

Padri Privatus Karugendo et al unahitajika huku
 
Back
Top Bottom