Nimeandika uzi huu kwenye jukwaa la siasa ili wanasiasa wengi wausome na kuchukua hatua. Ni jambo la kawaida sasa kwa ajali za mabasi ya abiria kutokea kila mwezi nchini mwetu.
Mimi ni mmojawapo wa waathirika wakubwa wa ajali zinazousisha mabasi ya abiria. Ni ukweli usiopingika kuwa ajali...
Nakushauri uanzie kwenye sensors, plugs na ignition coils. Gari yangu ilishanisumbuaga sana kwenye kuwaka taa ya check engine kumbe tatizo lilikuwa kwenye coil na sensors.
Hilo kweli ni tatizo kubwa. Inaniuma sana sababu cos nimeagiza gari toka UK, natakiwa niwalipe Serengeti £150 kwa ukaguzi wao wakati limekaguliwa na wataalamu Kwa £50.
Napenda kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kurudisha discipline serekalini. Kwa yeye mwenyewe kuona uozo na ufisadi kwenye idara zote za serekali ni ngumu inabidi asaidiwe.
Inasikitisha sana kuona mashirika na taasisi ya serekali ambayo yangeweza yakaendeshwa kwa faida kubwa...
Napenda kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kurudisha discipline serekalini. Kwa yeye mwenyewe kuona uozo na ufisadi kwenye idara zote za serekali ni ngumu inabidi asaidiwe.
Inasikitisha sana kuona mashirika na taasisi ya serekali ambayo yangeweza yakaendeshwa kwa faida kubwa...
Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa tunasubiri utekeleze ahadi yako ya kutumbua majipu TBA na TTCL. Ni ukweli usiopingika kutokana na uongozi mbovu kwenye Wakala wa Majengo (TBA) na kampuni ya simu (TTCL) taasisi hizi ni majipu.
TBA imeanzisha miradi mikubwa ya ujenzi wa nyumba za...
Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa tunasubiri utekeleze ahadi yako ya kutumbua majipu TBA na TTCL.
TBA imeanzisha miradi mikubwa ya ujenzi wa nyumba za watumishi serekali. Naamini ukifanyika uchunguzi katika taasisi hizi hasa TBA madudu mengi yanaweza yakaibuliwa.
Inasikitisha kuona...
Ni ukweli usiopingika kuwa tatizo la kutokuongea na kuandika kingereza kwa ufasaha ni kubwa kwa watanzania wengi .
Ukitaka kuhakikisha Kuwa kingereza ni tatizo lete mada huku jamii forum kwa kingereza utaona asilimia kubwa ya wachangiaji watachangia Kiswahili. Pia idadi ya watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.