Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa tunasubiri utekeleze ahadi yako ya kutumbua majipu TBA na TTCL.
TBA imeanzisha miradi mikubwa ya ujenzi wa nyumba za watumishi serekali. Naamini ukifanyika uchunguzi katika taasisi hizi hasa TBA madudu mengi yanaweza yakaibuliwa.
Inasikitisha kuona hizi taasisi za serekali zikiendeshwa kwa hasara kutokana na uongozi mbovu. Taasisi zikipata uongozi mzuri zinaweza zikaiongezea serekali mapato. Mfano wa kuigwa ni shirika la nyumba la Taifa ( NHC). Shirika hilo kabla ya kupata uongozi uliopo sasa lilikuwa linaendeshwa kwa hasara.